supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Katika bus mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ROHO MBAYA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kuna jamaa alienda kupiga stori kwa mshikaji wake.Naenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika bus mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto,
Mtoto akakataa,mama akamwambia "nyonya kama hutaki nampa anko anyonye (Anko ni kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama)
Mtoto akanyonya kidogo akaacha, Mama akamtishia tena kumpa anko.
Ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema "mama hebu kuwa na msimamo unajua nimepitiliza vituo viwili kwa ajili yako hebu kuwa mkweli unanipa ninyonye au nishuke!"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]