supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Leo kuna mtu nimemtolea uvivu ! amenikuta nimetulia akaniuliza mbona nimekunja sura ...nikamwambia nataka kuiweka kwenye begi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tanzania saa hiv kujuana kumezidi yani hata ukienda msiban bila Connection huli msosi[emoji12] [emoji12]
MTOTO: mama kwa nn unamuita mdogo angu malaika
MAMA: kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika,
kwa nini umeuliza mwanangu?
MTOTO: nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa
mama kazimia!!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
TAARIFA KWA UMMA
moto mkubwa umezuka na kuunguza ekari 10 za mahindi Shamba lililopo kariakoo mjini Dar es Salaam. Mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana, tutawajulisha chanzo cha moto huo tukipata taarifa kamili[emoji13]
BOSS:naskia unatafuta kazi,kompyuta unajua?
JAMAA:sana tu mzee
BOSS:unajua Microsoft Office?
JAMAA:msema kweli mpenzi wa mungu siijui
Lakini mkinielekeza Iko mtaa gani nitafika tu mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Kuna mtu kasema ananitumia Voice note"
Nimemwambia atume na ya kutolea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimecheka leooooooooooooo.UBAYA WA NYUMBA ZA KUPANGA!
Jana jirani yangu alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala
Leo anapika chapat na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya
chapati nataka kula ugali[emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]nimecheka leooooooooooooo.
dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!. nkipata stresss tena ntakuwa narudi kwenye uzi huu ili nirefresh mind.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*_Mwalimu Wa Hesabu Aliingia Dalasani Na Akaanza Kumuuliza Juma Swali_*
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mwalimu:juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?
Juma: hawata baki wote wataluka kwa kuogopa mlio wa bunduki
Mwalimu: hapana umekosa watabaki ndege 18 ILA nimependa ulivyojibu umewaza mbalii
Juma: sawa mwalimu nami naomba nikuulize swali
Juma: kuna wadada wawili walinunua chocklet mmoja akawa ananyonya mwingine akawa analamba we unahisi yupi ni mke wa mtu?
Mwalimu: nadhani mke wa mtu ni yule anaye nyonya
Juma: hapana mke wa mtu ni yule mwenye pete ya ndoa ila nimependa ulivyojibu umewaza mbaliii![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah