Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's reality.....not depression as how you think....it's when you meet a woman of your dream....then the dreams turns into reality!mkuu JITU BANDIA una sonona ndio maana unaishi kwenye fantasy kama hivi....
my prayers are with youIt's reality.....not depression as how you think....it's when you meet a woman of your dream....then the dreams turns into reality!
Anatamani apate huyo mdada wa kumwambia hayohayuko sawa huyu mtu anatunga tunga vitu
eti mdada anakupa nguo na perfume bure mmekutana jf🚮🚮Anatamani apate huyo mdada wa kumwambia hayo
Af mdada anapewa laki anakataa🤣🤣🤣eti mdada anakupa nguo na perfume bure mmekutana jf🚮🚮
Ni kastori ya kabinti kamooja.....
Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....
Nilikutana na huyu binti humu humu Jf....
Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)...
Mawasiliano yakatoka DM....to physical meeting kuonana(kibiashara)..kununua bidhaa ...nguo..
Baada ya kumaliza hayo... Akanipa mualiko....kaka yake alikuwa akifunga ndoa...baadae itafatiwa na tafrija fupi.....
hivyo kama itapendeza....nihudhurie..anahitaji company yangu tu.
Baada ya mishemishe zangu za mjini mitaa ya Samora....
Nikapitia dukani akanipe kadi.....
Kesho yake nilikua nasafiri hivyo sikujua kama naweza kuchelewa kurudi kabla ya harusi ama lah...
Hivyo nilikuwa na pesa nimeiandaa kwa ajili ya kumchangia kama rafiki mpya tulieunganishwa kupitia jf kwa ununuzi wa nguo tu....
Nilipofika tu nilikuta ameandaa nguo dizaini ya zile nilizochukua mwanzo na perfume..ya Creed Aventus....
Akaniambia hii ni zawadi yangu kwako....kwa kuniungisha siku ile...
Nilishukuru...nilikosa la kuongea...kuficha aibu nisionekane mnyonge....
Kwa kuwa nimetenga kumpa 50k kama mchango...
Nikamuomba Samahani kidogo nataka niingie short call kwenye baa jirani na maeneo hayo....
Anasema hakuna shida....
Nikapepesa macho huku na huku... Nikaona M-Pesa ya karibu..... nikatoa 50k Ili niongezee iwe 100k nimpe kama mchango.
Nikarudi dukani akawa ameshanifungia vile vitu... Nikatoa pesa ikatimia 100k ili nimpe kama mchango wangu...
Cha ajabu aliikataa kabisa mchango wangu....
Akasema " Noo! Mm Nahitaji company Yako tu kaka Jo....."
Tumejuana siku si nyingi na maandalizi yote yalishakamilika....
Dah nilijisikia mnyonge saana yeye kukataa kupokea mchango wangu..tukaagana kihivyo...
Nikamueleza kuhusu safari yangu nikamueleza sitachelewa kurudi......
Nimemaliza kilichonipeleka Moro....
....SASA ndio nimerudi nimemtaarifu...na harusi ni next week....
Amenitumia Sms hii...
" Kaka jo...pole na safari...ulikuwa umesafiri na moyo wangu ..naomba uje nikuone tu hata mara Moja kakaangu"!!!!
Nilishaumizwa, Sitaki kuumiza....Coz natambua maumivu...
hasa maumivu ya kuonyesha hisia zako kwa mtu umpendaye .. ....na yeye asithamini hisia zako...Sitaki nimuumize hisia zake.....ah
Kwa hiyo ndo Unataka kusemaa!?!! Hii ni chai amaa!!!?..Af mdada anapewa laki anakataa🤣🤣🤣
Hivi kupata vichekesho kama hivyo tunabonyeza ngapi?
Tamthilia zinakuharibu mkuuKwa hiyo ndo Unataka kusemaa!?!!
Dumu katika maombi binti....muda utafika nawe utampata wako ULIECHAGULIWA!Tamthilia zinakuharibu mkuu
View attachment 2661432
Kastory kazur
Mapenz matamu kama ya kwenye muvi
Kula chuma hicho
Sahv tunapenda mademu wenye hela na sio wale omba omba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Except for Tanzania ladiesNi kastori ya kabinti kamooja.....
Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....
Nilikutana na huyu binti humu humu Jf....
Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)...
Mawasiliano yakatoka DM....to physical meeting kuonana(kibiashara)..kununua bidhaa ...nguo..
Baada ya kumaliza hayo... Akanipa mualiko....kaka yake alikuwa akifunga ndoa...baadae itafatiwa na tafrija fupi.....
hivyo kama itapendeza....nihudhurie..anahitaji company yangu tu.
Baada ya mishemishe zangu za mjini mitaa ya Samora....
Nikapitia dukani akanipe kadi.....
Kesho yake nilikua nasafiri hivyo sikujua kama naweza kuchelewa kurudi kabla ya harusi ama lah...
Hivyo nilikuwa na pesa nimeiandaa kwa ajili ya kumchangia kama rafiki mpya tulieunganishwa kupitia jf kwa ununuzi wa nguo tu....
Nilipofika tu nilikuta ameandaa nguo dizaini ya zile nilizochukua mwanzo na perfume..ya Creed Aventus....
Akaniambia hii ni zawadi yangu kwako....kwa kuniungisha siku ile...
Nilishukuru...nilikosa la kuongea...kuficha aibu nisionekane mnyonge....
Kwa kuwa nimetenga kumpa 50k kama mchango...
Nikamuomba Samahani kidogo nataka niingie short call kwenye baa jirani na maeneo hayo....
Anasema hakuna shida....
Nikapepesa macho huku na huku... Nikaona M-Pesa ya karibu..... nikatoa 50k Ili niongezee iwe 100k nimpe kama mchango.
Nikarudi dukani akawa ameshanifungia vile vitu... Nikatoa pesa ikatimia 100k ili nimpe kama mchango wangu...
Cha ajabu aliikataa kabisa mchango wangu....
Akasema " Noo! Mm Nahitaji company Yako tu kaka Jo....."
Tumejuana siku si nyingi na maandalizi yote yalishakamilika....
Dah nilijisikia mnyonge saana yeye kukataa kupokea mchango wangu..tukaagana kihivyo...
Nikamueleza kuhusu safari yangu nikamueleza sitachelewa kurudi......
Nimemaliza kilichonipeleka Moro....
....SASA ndio nimerudi nimemtaarifu...na harusi ni next week....
Amenitumia Sms hii...
" Kaka jo...pole na safari...ulikuwa umesafiri na moyo wangu ..naomba uje nikuone tu hata mara Moja kakaangu"!!!!
Nilishaumizwa, Sitaki kuumiza....Coz natambua maumivu...
hasa maumivu ya kuonyesha hisia zako kwa mtu umpendaye .. ....na yeye asithamini hisia zako...Sitaki nimuumize hisia zake.....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😀Hivi kupata vichekesho kama hivyo tunabonyeza ngapi?
Nimeshachaguliwa kitamboDumu katika maombi binti....muda utafika nawe utampata wako ULIECHAGULIWA!
Na sio uliemchagua...! Kuna vitu viwili hapo juu... I hope umenielewa
Safar njemaNi kastori ya kabinti kamooja.....
Leo nimeamini..,. Ni ngumu saana kwa baadhi ya mabinti kuonesha hisia zao wazi kwa mwanaume wa Ndoto zake....
Nilikutana na huyu binti humu humu Jf....
Tulijuana kidogo...kuna bidhaa alikuwa anauza (men's clothes)...
Mawasiliano yakatoka DM....to physical meeting kuonana(kibiashara)..kununua bidhaa ...nguo..
Baada ya kumaliza hayo... Akanipa mualiko....kaka yake alikuwa akifunga ndoa...baadae itafatiwa na tafrija fupi.....
hivyo kama itapendeza....nihudhurie..anahitaji company yangu tu.
Baada ya mishemishe zangu za mjini mitaa ya Samora....
Nikapitia dukani akanipe kadi.....
Kesho yake nilikua nasafiri hivyo sikujua kama naweza kuchelewa kurudi kabla ya harusi ama lah...
Hivyo nilikuwa na pesa nimeiandaa kwa ajili ya kumchangia kama rafiki mpya tulieunganishwa kupitia jf kwa ununuzi wa nguo tu....
Nilipofika tu nilikuta ameandaa nguo dizaini ya zile nilizochukua mwanzo na perfume..ya Creed Aventus....
Akaniambia hii ni zawadi yangu kwako....kwa kuniungisha siku ile...
Nilishukuru...nilikosa la kuongea...kuficha aibu nisionekane mnyonge....
Kwa kuwa nimetenga kumpa 50k kama mchango...
Nikamuomba Samahani kidogo nataka niingie short call kwenye baa jirani na maeneo hayo....
Anasema hakuna shida....
Nikapepesa macho huku na huku... Nikaona M-Pesa ya karibu..... nikatoa 50k Ili niongezee iwe 100k nimpe kama mchango.
Nikarudi dukani akawa ameshanifungia vile vitu... Nikatoa pesa ikatimia 100k ili nimpe kama mchango wangu...
Cha ajabu aliikataa kabisa mchango wangu....
Akasema " Noo! Mm Nahitaji company Yako tu kaka Jo....."
Tumejuana siku si nyingi na maandalizi yote yalishakamilika....
Dah nilijisikia mnyonge saana yeye kukataa kupokea mchango wangu..tukaagana kihivyo...
Nikamueleza kuhusu safari yangu nikamueleza sitachelewa kurudi......
Nimemaliza kilichonipeleka Moro....
....SASA ndio nimerudi nimemtaarifu...na harusi ni next week....
Amenitumia Sms hii...
" Kaka jo...pole na safari...ulikuwa umesafiri na moyo wangu ..naomba uje nikuone tu hata mara Moja kakaangu"!!!!
Nilishaumizwa, Sitaki kuumiza....Coz natambua maumivu...
hasa maumivu ya kuonyesha hisia zako kwa mtu umpendaye .. ....na yeye asithamini hisia zako...Sitaki nimuumize hisia zake.....
Sisi tuliosomea Cuba,tumeshajua nini kiliendelea baada ya hapo.Ni kastori ya kabinti kamooja.....

Uko sahihi sana mkuu.Binadamu naturally hawako na msimamo take care waweza pata Hadi Ukimwi kwa kuhisi unapendwa
Usipende kuwashobekea Wanawake hasa wabongo
Uwe pia tayari kupokea miwaya.View attachment 2661432