When a mumbi journalist reports on JPM clampdowns n give a blind eye on graft that kills Kenya

Aisee acha kumfanisha RAIS wetu na Moi (in serious tone). Moi hakuwa rais wa wakenya, bali ALIKUWA RAIS wa WENYE Kenya. alilinda maslahi ya wachache kwa hasara ya wengi. aliendeleza kuwauza WATU wake kwenye utumwa.
Hujui unachosema, kama kuna rais ambaye alikuwa rais wa watu wa kawaida ni MOI. Na ile kauli mbiu yake ya fuata Nyayo na Harambee. Alikuwa ananyanyua mawe kwa mikono yake mwenyewe akijenga zile 'gabion' za kuzuia mmonyoko wa udongo kule vijijini. Pia alikuwa na tabia ya kuhudhuria kanisa, kila jumapili kijiji tofauti kule mashinani. Ila hayo yote yalikuwa ni kiki na alikuwa na allergy kubwa sana na upinzani na alipenda sana kuimbiwa nyimbo za kumsifu na kwaya za 'wazalendo'. Jiwe akijiangalia kwenye kioo sasa hivi ataanza kujiita Arap Magufuli.
 
Kijana nimekufuatilia comment zako zote ni kumdhalilisha na kumtukana Rais wetu.
Unapomtukana Rais wetu maana yake unatutukana watanzania wote.
Sasa kuanzie hii sasa hivi nakuvalia njuga.

Inavyoonekana mambo mnliyoyatazamia yamefail. So wait uone sasa JF ilivyo na nguvu.
Tulipiga campain humu kwenye uchaguzi wa Afrika Mohamed akapigwa chini.
Tuliongea humuhumu yule dada wa vodacom akapigwa chini. Sasa basi usituone wabaya kuna wakenya wengi tu mitaani hawana work permit na wapo TZ illegaly.
Yajayo yanafurahisha.
Mshenzi kabisa we jamaa, eti utanivalia njuga. Sasa ndio unamtisha nani? Nioneshe nilipoMTUSI JPM. Mimi nasema ukweli kama ulivyo. Rais Uhuru Kenyatta tunamtusi kila siku na wala sio jambo la kushangaza. Jiwe ni dikteta, basi. Kajitie kitanzi kama ukweli haukupendezi.
 
Eti nyumbu? Mimi ni mkenya bana naona ushapanick. Kwa hivyo Malaika aanze kutungiwa nyimbo za kumsifia na atawale milele? Bure kabisa!
Kwani hata akitawala milele wewe inakuhusu nini, hakuna mkenya mwenyewe guts hata za kumnyooshea kidole M7 achilia mbali the mighty JPM ambae hana mfanowe duniani

Kenya is the failed, broke state so far
IMG_20180915_083120_142.jpg
 
Kwani hata akitawala milele wewe inakuhusu nini, hakuna mkenya mwenyewe guts hata za kumnyooshea kidole M7 achilia mbali the mighty JPM ambae hana mfanowe duniani

Kenya is the failed, broke state so far View attachment 866607
Mbona wakenya waliandamana Bobi Wine alipofanyiwa ule uhuni? Naona ndio umeanza shughuli ya kuokota buku zako saba za leo.
 
Mshenzi kabisa we jamaa, eti utanivalia njuga. Sasa ndio unamtisha nani? Nioneshe nilipoMTUSI JPM. Mimi nasema ukweli kama ulivyo. Rais Uhuru Kenyatta tunamtusi kila siku na wala sio jambo la kushangaza. Jiwe ni dikteta, basi. Kajitie kitanzi kama ukweli haukupendezi.
Hebu ondoa ushenzi wenu wa kikenya. Tanzania is not Kenya. Kwa unatakiwa uelewe. Tanzania is both a nation and country but kenya is only a country.
So ushenzi wenu huo uishie kwenu kenya.
Kijana mdogo na maskini unawatukana waliokuzidi umri!! How stupid you are. Mnaiga uzungu na kuacha tamaduni zetu za kiafrika. Uhuru anaweza akawa baba yako. Kitendo cha kumtusi Uhuru ni kumtukana mzazi wako. Mnatumiwa na wazungu kuharibu nchi yenu wenyewe!!? Eti freedom, freedom bila miiko ni wendawazimu.
Mnaharibu nchi yenu kwa mikono yenu wenyewe huku wazungu wakiendelea kuwatumikisha.
Mtakuwa puppet wa wazungu mpaka lini!?
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Hahaa namshangaa mswahili analialia mitandaoni mazee, sijui amekosa kamgao kake ka mapapai ya awamu ya tano ambayo yanasambazwa kote mikoani![emoji90] [emoji3]
MA.jpg
 
Hebu ondoa ushenzi wenu wa kikenya. Tanzania is not Kenya. Kwa unatakiwa uelewe. Tanzania is both a nation and country but kenya is only a country.
So ushenzi wenu huo uishie kwenu kenya.
Kijana mdogo na maskini unawatukana waliokuzidi umri!! How stupid you are. Mnaiga uzungu na kuacha tamaduni zetu za kiafrika. Uhuru anaweza akawa baba yako. Kitendo cha kumtusi Uhuru ni kumtukana mzazi wako. Mnatumiwa na wazungu kuharibu nchi yenu wenyewe!!? Eti freedom, freedom bila miiko ni wendawazimu.
Mnaharibu nchi yenu kwa mikono yenu wenyewe huku wazungu wakiendelea kuwatumikisha.
Mtakuwa puppet wa wazungu mpaka lini!?
Leo umekuwa wakili wa rais Uhuru Kenyatta? Endelea kuimba hiyo chorus yenu hadi uchoke, na bado! Kidogo kidogo utabubujikwa na machozi kwa sababu Jiwe kakashifiwa.
 
Hujui unachosema, kama kuna rais ambaye alikuwa rais wa watu wa kawaida ni MOI. Na ile kauli mbiu yake ya fuata Nyayo na Harambee. Alikuwa ananyanyua mawe kwa mikono yake mwenyewe akijenga zile 'gabion' za kuzuia mmonyoko wa udongo kule vijijini. Pia alikuwa na tabia ya kuhudhuria kanisa, kila jumapili kijiji tofauti kule mashinani. Ila hayo yote yalikuwa ni kiki na alikuwa na allergy kubwa sana na upinzani na alipenda sana kuimbiwa nyimbo za kumsifu na kwaya za 'wazalendo'. Jiwe akijiangalia kwenye kioo sasa hivi ataanza kujiita Arap Magufuli.

interesting story about baba. but why you were throwing bad words to this old man.
 
Kama mtetezi wa malaika Geza Ulole ameumwa sana na habari hizi, namshauri awafate hawa watz wenzake ambao wanapinga ukandamizaji wa haki msingi za watz. Jebra Kabonde(Haki Tanzania), Hebron Mwakagenda(Tanzania Constitution Forum), Ismail Jussa(CUF). Sijui kwanini anamkashifu aliyeleta habari wakati yeye ametumia tu maneno ya hao niliowataja hapo juu kufikisha ujumbe wake.
He should talk of corrupt Kamwana!
 
Back
Top Bottom