When a mumbi journalist reports on JPM clampdowns n give a blind eye on graft that kills Kenya

Aisee acha kumfanisha RAIS wetu na Moi (in serious tone). Moi hakuwa rais wa wakenya, bali ALIKUWA RAIS wa WENYE Kenya. alilinda maslahi ya wachache kwa hasara ya wengi. aliendeleza kuwauza WATU wake kwenye utumwa.
Hujui unachosema, kama kuna rais ambaye alikuwa rais wa watu wa kawaida ni MOI. Na ile kauli mbiu yake ya fuata Nyayo na Harambee. Alikuwa ananyanyua mawe kwa mikono yake mwenyewe akijenga zile 'gabion' za kuzuia mmonyoko wa udongo kule vijijini. Pia alikuwa na tabia ya kuhudhuria kanisa, kila jumapili kijiji tofauti kule mashinani. Ila hayo yote yalikuwa ni kiki na alikuwa na allergy kubwa sana na upinzani na alipenda sana kuimbiwa nyimbo za kumsifu na kwaya za 'wazalendo'. Jiwe akijiangalia kwenye kioo sasa hivi ataanza kujiita Arap Magufuli.
 
Mshenzi kabisa we jamaa, eti utanivalia njuga. Sasa ndio unamtisha nani? Nioneshe nilipoMTUSI JPM. Mimi nasema ukweli kama ulivyo. Rais Uhuru Kenyatta tunamtusi kila siku na wala sio jambo la kushangaza. Jiwe ni dikteta, basi. Kajitie kitanzi kama ukweli haukupendezi.
 
Eti nyumbu? Mimi ni mkenya bana naona ushapanick. Kwa hivyo Malaika aanze kutungiwa nyimbo za kumsifia na atawale milele? Bure kabisa!
Kwani hata akitawala milele wewe inakuhusu nini, hakuna mkenya mwenyewe guts hata za kumnyooshea kidole M7 achilia mbali the mighty JPM ambae hana mfanowe duniani

Kenya is the failed, broke state so far
 
Kwani hata akitawala milele wewe inakuhusu nini, hakuna mkenya mwenyewe guts hata za kumnyooshea kidole M7 achilia mbali the mighty JPM ambae hana mfanowe duniani

Kenya is the failed, broke state so far View attachment 866607
Mbona wakenya waliandamana Bobi Wine alipofanyiwa ule uhuni? Naona ndio umeanza shughuli ya kuokota buku zako saba za leo.
 
Hebu ondoa ushenzi wenu wa kikenya. Tanzania is not Kenya. Kwa unatakiwa uelewe. Tanzania is both a nation and country but kenya is only a country.
So ushenzi wenu huo uishie kwenu kenya.
Kijana mdogo na maskini unawatukana waliokuzidi umri!! How stupid you are. Mnaiga uzungu na kuacha tamaduni zetu za kiafrika. Uhuru anaweza akawa baba yako. Kitendo cha kumtusi Uhuru ni kumtukana mzazi wako. Mnatumiwa na wazungu kuharibu nchi yenu wenyewe!!? Eti freedom, freedom bila miiko ni wendawazimu.
Mnaharibu nchi yenu kwa mikono yenu wenyewe huku wazungu wakiendelea kuwatumikisha.
Mtakuwa puppet wa wazungu mpaka lini!?
 
Reactions: Oii
Hahaa namshangaa mswahili analialia mitandaoni mazee, sijui amekosa kamgao kake ka mapapai ya awamu ya tano ambayo yanasambazwa kote mikoani![emoji90] [emoji3]
 
Leo umekuwa wakili wa rais Uhuru Kenyatta? Endelea kuimba hiyo chorus yenu hadi uchoke, na bado! Kidogo kidogo utabubujikwa na machozi kwa sababu Jiwe kakashifiwa.
 

interesting story about baba. but why you were throwing bad words to this old man.
 
He should talk of corrupt Kamwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…