When is this going to stop in Africa?

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Wakenya tulipigania sana second liberation in the 1990s hadi sahii tunaenjoy uhuru wa kunena na kuchagua, ila nalilia sana mataifa mengine ya Afrika jinsi wanavyowatenda wapinzani wa serikali. Mbona msipee watu uhuru wa kuchagua? Nchi yetu sahii tumechoka kuhost political asylum seekers. Get your housess in order.

 
This is no longer a burning issue. We all know that, his financial clime has abruptly turned upside down. He is not believing what apparently surrounds him.

Anyways, mwambie aje alipe madeni yake.
 
When we say countries have freedom of speech and choice we don't mean there are no eveils in those country, we mean people are free to talk about those evils and that's why you see news like this from Kenyan media. The same way you see images of police brutality in the USA but you never see the same in North Korea. Kenya ni kama USA, Tanzania ni kama North Korea.
 
Uhuru wa kujieleza ni pale ambapo upo huru kueleza mawazo yako bila kuogopa au kunyanyaswa, kupigwa au kutishiwa maisha kabla ya kujieleza, wakati unajieleza au baada ya kujieleza.

Kenya hakuna huo uhuru, watu na journalists wanapigwa na kuuliwa hovyo kabisa, Miguna Miguna hadi leo amefurushwa nchini kwa sababu ya kutumia haki yake ya kikatiba.

Huwezi kuta polisi Tanzania wanapiga Journalists namna hii.


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Extra-judicial killings in Tanzania are never reported, the few that are reported are done by foreign media otherwise mauaji huko ni mengi sana. You have numerous opposition politicians living in exile. You have political asylum seekers in Kenya at any moment. Nitajia asylum seeker mmoja Mkenya anayeishi bongo.
 
We need evidence baba, kama huna evidence utabaki kupiga domo tupu, Kenya tops Africa in police killings and political assassinations. Tanzania is one among the safest countries in the World with very stable political Environment, that is according to UN bodies which ranked Kenya among the most dangerous countries in the World.


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Huko matukio ya dizain za kina Jacob Juma mnayo yakutosha sema mnaficha mipododo yenu mnapiga kelele huku. Hizo ishu kwa sisi currently imetokea kwa Lissu tu na jamaa yupo hai ila huku mnafyekana kama Kuku hadi mmeshazoea ndo maana hamuongelei, fatilia mauaji ya wanasiasa Tz na Kenya tokea tu hapo 1995 hadi sasa nani kafyeka wanasiasa wengi?
 
Being dangerous and having the freedom of speech and expression are two different things. Stop creating strawmen. Here is the evidence that Tanzania ranks dismally in media and speech freedom.


 
Na yaliyotendeka Zanzibari je? At least huku tunaweka wazi yanaonekana. Huko kwenu hata wanaojaribu kuyaweka wazi wanamalizwa. Ndio maana the only story you could get ni ya Jacob Juma ambayo ilitendeka mwaka wa 2016.
 
You need to know Lema's history. The guy is bogus hata kama angekuwa my neighbor ningemfukuza, he's a traitot.
 
Kwa sababu hatulambi matako ya hao wanaeneza hizo propaganda lazima waandike utumbo ila nyie mnaowatetemekea lazima wawapooze. Believe what you want to believe Ila ukweli unajulikana.
 
Na yaliyotendeka Zanzibari je? At least huku tunaweka wazi yanaonekana. Huko kwenu hata wanaojaribu kuyaweka wazi wanamalizwa. Ndio maana the only story you could get ni ya Jacob Juma ambayo ilitendeka mwaka wa 2016.
Kama inafichwa hio Zanzibar ungeijuaje?kitu kinafichwa hadi we pimbi unakijua nenda kale githeri ukahare huko
 
Huu ni ukorofi wa askari binafsi na askari kama hao huchukuliwa hatua. Hapo kwenu journalist hawezi jipata mahali kama hapa maanake munawafunga journalists walio na courage ya kurecord mambo kama haya. Mnachobaki nacho ni nchi ya waoga, serikali inafanya itakavyo bila kuulizwa swali.

 
Kwa sababu hatulambi matako ya hao wanaeneza hizo propaganda lazima waandike utumbo ila nyie mnaowatetemekea lazima wawapooze.......believe what you want to believe Ila ukweli unajulikana
Ila wanapoandika your country is safe munakubaliana nao sivyo?
 
Huko mnawabadili
Ila wanapoandika your country is safe munakubaliana nao sivyo?
Wana.....wao.....mimi maisha yanasonga iwe safe ama sio safe nipo nyumbani...statement zao hazibadili chochote kwenye maisha yangu sababu sishobokei mzungu kama wewe mkunya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…