When is this going to stop in Africa?

At least leo umeongea kwa lugha unayoelewa. Endelea hivo na uachane na kuongea broken English hapa hivi alafu unatupa decipher mahali ndio uonekane unaielewa lugha.

Ahaa haa
kwa hiyo mada ya leo ni neno decipher. r u serious bricks and mortar engineer? Dealing with trivial things and leave alone the subject matter at hand, "police extra legal killings in kenya, when will it end?"
 
joto la jiwe wewe ndio huwa unapenda kujishaua kuwa Tanzania inaheshimu haki za kibinadamu. Dunia inajua kuwa Tanzania ni dictatorship hata mkijifanya paradise of freedom
 
Kenya had never be a peaceful country since its independence, during Kenyatta and Moi era, political assassinations were at its peak, Kenyans were killed like flies[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida yako hushikanishangi kitu, akili maji.

The point is, during those eras of assasinations, Kenya was ranked more peaceful than Tanzania. Ndio maana nakwambia the lack of media freedom makes your country look peaceful when in real sense it's not.
 
Wewe chizi tunaongelea news ambazo ziko critical of the government ama news ambazo zinaexpose maovu ya serikali. Tumia akili, Kilimanjaro is not critical of the government. Serengeti does not expose the evils of the government. Kazi ya vyombo vya habari sio propaganda ya serikali tuu, ni kuhamasisha uma pia.
 
Tanzania hakuna uhuru ndio maana Godbless Lema ametoroka huko. Halafu sio kweli kuwa polisi wenu hawapigi journalists. Kuna picha fulani MK254 amewahi kupost hapa ya polisi wenu wakimpiga journalist hadi akabaki vipande vipande vya nyama na utumbo.
 
joto la jiwe Kenya ina better press freedom than Tanzania. Kenya iko namba 103 na Tanzania iko namba 124. Usiwahi tena kudanganya kuwa Tanzania ina uhuru wa kujieleza.
 
Miguna Miguna yupo wapi?.
Haya mambo huwa hupimwa kwa idadi ya matukio ndio tunasema nchi haina uhuru au police wanaua watu.

Hilo tukio lilitokea Iringa 2015, mahakama ilimuhukumu huyo polisi miaka 15 jela kwa kuua bila kukusudia, baada ya hilo tukio, hakuna mtanzania(bara) mwengine aliyeuliwa na polisi, Kenya polisi wanaua raia "almost every week".
 
joto la jiwe Kenya ina better press freedom than Tanzania. Kenya iko namba 103 na Tanzania iko namba 124. Usiwahi tena kudanganya kuwa Tanzania ina uhuru wa kujieleza.
Hili nimelitolea maalezo, kwamba Kenya hakuna freedom of express as well as Tanzania, by International standard, sasa ninyi mnaposema Kenya kuna freedom of expression mnatumia vigezo gani?.

Kama tunalinganisha kati ya Kenya na Tanzania, mlipaswa kusema Kenya is better than Tanzania, lakini hiyo haimaanishi kwamba kwasababu Kenya ipo juu ya Tanzania, hiyo inakuwa ndio kigezo cha kusema kwamba Kenya kuna uhuru wa kujiekeza.
 
Tatizo ni kuwa wewe ulikuwa unamaanisha kuwa Tanzania iko better than Kenya lakini ukweli ni kuwa nchi zote mbili ni shit-hole likija kwenye swala la media freedom au uhuru wa wanahabari kujieleza. Ila Kenya ipo slightly better.
 
Jinga kabisa wewe, kazi ya media ni kuandika mambo yote kwa usawa, mabaya na mazuri, sasa wewe kwa upumbavu wako unataka media ziandike mabaya pekee lakini zisiandike mazuri.

Kama umeona media za Tanzania haziandiki mabaya, ulipaswa kujiuliza, je mazuri zinaandika?, ukigundua kwamba mazuri zinaandika lakini mabaya haziandiki ndio unaweza kusema kwamba huenda zinatishwa na kuogopa, sasa kama hata mazuri yanayofanywa na serikali pia haviandiki, utasemaje kwa uhakika kwamba vinatishwa?.

Tumia akili katika kufikiria, ninafahamu kwamba uwezo wenu wa kufikiria mambo kwa undani ni mdogo, lakini anzeni kujifunza, ndio faida ya kuwa na mijadala kama hii.
 
Tatizo ni kuwa wewe ulikuwa unamaanisha kuwa Tanzania iko better than Kenya lakini ukweli ni kuwa nchi zote mbili ni shit-hole likija kwenye swala la media freedom au uhuru wa wanahabari kujieleza. Ila Kenya ipo slightly better.
Kwahiyo kuanzia sasa waeleze wakenya wenzako kuacha kusema kwamba Kenya kuna" freedom of expression", wanaweza kusema"Kenya is slightly better than Tanzania, and Tanzania is slightly better than Uganda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya wengi akiwemo Uhuru Kenyatta amekua akiitangazia dunia kwamba Kenya kuna freedom of expression, hata sijui huwa wanatumia kigezo gani, au kwasababu wapo juu ya Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sababu hatulambi matako ya hao wanaeneza hizo propaganda lazima waandike utumbo ila nyie mnaowatetemekea lazima wawapooze.......believe what you want to believe Ila ukweli unajulikana
Ukweli ukisemwa kuhusu taifa lenu eti lazima kuna mtu halambi matako ya wazungu. When will you people stop this stupid narrative? The same white people wakitoa ripoti za kusifia Tanzania nani analamba matako yao? Wewe?
Juzi mkiondolewa kwenye lile kundi la LDC mlilamba matako yao? Look at your life! Pathetic!
 
Hivi kichwa yako iko sawa? Nani kasema media isiandike mambo mazuri? Saa zingine kuargue na wewe huwa kama kuargue na mbuzi ndio maana watu hukudharau.

Hivi akili yako iko sawa? Serikali za kidikteta huwa hazipingi kuandikwa mazuri kuzihusus, in fact huwa inachochea media iandike tu mazuri, ni yale mabaya ambayo hufichwa kama inavyofanyika huko bongo na kama huoni kama hiyo ni shida kubwa then you need a brain transplant.
 
Kale malimao nyang'au waseme wao kwani walivyokua hawajasema hio ya LDC tulikua bado tunashida za njaa za kipuuzi kama mlizo nazo nyie za kulambalamba makalio ya wazungu......njaaa zenu za kipuuzi ndo maana mzungu anawachezea mipododo yenu atakavyo
 
Kwahiyo kuanzia sasa waeleze wakenya wenzako kuacha kusema kwamba Kenya kuna" freedom of expression", wanaweza kusema"Kenya is slightly better than Tanzania, and Tanzania is slightly better than Uganda"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uganda kuna media freedom mara mia zaidi ya Tanzania ndio maana habari za police brutality huko tunazipata moja kwa moja kutoka media za Uganda ilhali wanachi wanapouliwa Zanzibar huwezi sikia kwa media za Tanzania.
 
wewe umekaa sehemu ukichagua nini cha kusikia kutokea tz,uganda kuna nini!!!

ukweli ni kwamba uganda na kenya kuna upuuzi mwingi zaidi wa kupora haki za binaadam,ndio sababu ni kama unasikika zaidi.

fikiria kipindi cha uchaguzi mnavyouana,angalia uganda juzi boby amefanywaje??
 
Sasa ndiyo umeandika nini hapa. Tunataka mambo mazito. Siyo kama haya ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…