When Kenya sees Tanzania as their measurement

When Kenya sees Tanzania as their measurement

All the mining that I know have fences I don't know what u r taking about! The Journalist tried to highlight how lazy u r as a nation ! It's a third year since u decided to build a wall n nothing to show of a wall.
You mean great wall in china?or wall of east and west germany?
 
hahahahahaha proud about a wall? Trump addiction
eeehh yes wa kwetu tumejenga wenyewe!!sasa wewe unakuwa proud na kiwanda kinachojengwa na wanaume wenzio???watu wanakuwa watumwa wanafanya kazi kuanzia asubuhi saa 2 hadi usiku saa 2 kwa tsh 5000 usEnge gani huu?.
 
it is okay, mwacheni Magu, ili mbegu ikue vizuri lazima ife, na ikishaota ikinawiri ndipo utakaposhtuka kuwa jamaa yuko mbali
 
aliyemroga mtanzania ni nani?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
huyo alifaulu...ama kweli, empty debes make the most noise
mbona povu jingi? Hapa tunaongelea michezo?
 
Huwa naionea nchi ya Tanzania huruma wakati mwingine...a very beautiful country but with idiot citizens..vichekesho wa ulimwengu...mnaiangusha sana nchi yenu maridadi
mtu mwenye akili ndogo kama wewe ambae hujui chochote kuhusu manufaa ya madini na kulingamisha na medali za kwenye michezo am sure wewe ni zwazwa wa kisasa
 
Kipindi cha JK wabongo tulikuwa tunaenda kasi sana na Wakenya walikuwa na woga wa Hatari kuwa tutawapiku, kwa sasa Kenya anazidi kutuacha mbali, sisi tuko busy na vyerahani vinne na Mashine za kukamulia miwa
Construction boom ndio kama imekufa vile
huo ni uoga wa fikra wamekuzidi kwenye kitu gani.
usiwe mtumwa wa fikra kwa sasa wakenye ndio wanaogopa move zifanyazo na Tanzania jiongeze
 
huo ni uoga wa fikra wamekuzidi kwenye kitu gani.
usiwe mtumwa wa fikra kwa sasa wakenye ndio wanaogopa move zifanyazo na Tanzania jiongeze

Hakuna Mambo yoyote ya maana kuhusu viwanda yanayofanyika TZ ziadi ya Siasa za Uchwara tu, mbunge tunayetegemea ndio labda watapitisha sheria au sera bora za Viwanda, anasimama anakwambia Saluni ya kunyoa nywele nayo ni Kiwanda
 
Ukiacha na Hayati baba Wa Taifa Rais Julius Kambarage Burito Nyerere , ambaye allikuwa anaogopeka na Dunia hasa mabepari wakiwamo vibaraka kama Kenya , sasa hivi Rais Magufuli ni Mwiba Mchungu sana kwa Wakenya
 
Back
Top Bottom