You mean great wall in china?or wall of east and west germany?All the mining that I know have fences I don't know what u r taking about! The Journalist tried to highlight how lazy u r as a nation ! It's a third year since u decided to build a wall n nothing to show of a wall.
eeehh yes wa kwetu tumejenga wenyewe!!sasa wewe unakuwa proud na kiwanda kinachojengwa na wanaume wenzio???watu wanakuwa watumwa wanafanya kazi kuanzia asubuhi saa 2 hadi usiku saa 2 kwa tsh 5000 usEnge gani huu?.hahahahahaha proud about a wall? Trump addiction
mbona povu jingi? Hapa tunaongelea michezo?aliyemroga mtanzania ni nani?huyo alifaulu...ama kweli, empty debes make the most noise
mtu mwenye akili ndogo kama wewe ambae hujui chochote kuhusu manufaa ya madini na kulingamisha na medali za kwenye michezo am sure wewe ni zwazwa wa kisasaHuwa naionea nchi ya Tanzania huruma wakati mwingine...a very beautiful country but with idiot citizens..vichekesho wa ulimwengu...mnaiangusha sana nchi yenu maridadi
huo ni uoga wa fikra wamekuzidi kwenye kitu gani.Kipindi cha JK wabongo tulikuwa tunaenda kasi sana na Wakenya walikuwa na woga wa Hatari kuwa tutawapiku, kwa sasa Kenya anazidi kutuacha mbali, sisi tuko busy na vyerahani vinne na Mashine za kukamulia miwa
Construction boom ndio kama imekufa vile
very true huyu ni zwazwaOut of context hii inaonyesha namna gani haujapona bado
huo ni uoga wa fikra wamekuzidi kwenye kitu gani.
usiwe mtumwa wa fikra kwa sasa wakenye ndio wanaogopa move zifanyazo na Tanzania jiongeze
KitukoHakuna Mobe yoyote ya maana inayofanyika TZ ziadi ya Siasa za Uchwara tu,