Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Unamaanisha nini wewe ama ni kuweweseka tu.Achane kupoteza mada, mumeambiwa leteni mkenya, kama mumeshindwa mkubali acheni upuuzi wenu wa kupenda vitu vizuri view vyenu, mnajua maana ya MTU kuwa mkenya?. Ninyi ni wehu sana, mumeanza kuchanganyikiwa baada ya kuona mnashindwa kupambanisha Kenya na Tanzania mnaanza kutoka nje ya mada. Leteni mkenya kama hamna semeni hakuna.