when Kenyans gather to see a Tanzanian

Unamaanisha nini wewe ama ni kuweweseka tu.
 
Thanks for confessing mo is an Indian. Indians and Arabs are the ones who keep your economy running. Nyinyi wengine ni mafukara
 
Naaaaam! Ndio maana mmoja wao hapo alikenua hadi Obama akaona jino lake la 38. [emoji38][emoji38][emoji38]
Jaribu kupunguza ulimbukeni wenu japo kidogo, tabia ya kupenda kupendelea vitu visivyokuwa vyenu hamjaanza kwa Obama, yule mchina alikaa Kenya akawajua vizuri. Monkey hawalimi, wanasubiri binadamu alime then huingia shambani kuchukua mazao. Prove kwamba yule mchina alikosea kuita wakenya monkey.
 
Hii ni post mbovu na ya kitoto kuwahi kutokea tangu mwaka huu uanze

1. Mwenye kipji chake ambaye ndio kakusanya umati huo ambao kwao ukabila na utaifa siikitu bali ni burudani wala hana habari na ujinga huu uliomwandikia unaolenga kumpunguzia mashabiki.

2.Mbona sisi huwa tunawashangilia wanariadha wao wanaoshinda wazungu kwenye marathon duniani huko pale tunapomkosa muwakilishi wa Tanzania tunawashangilia tukiamini ni waswahili wenzetu?
 
Good, So how did his presidency help this poor family. And the poor Government of Kenya?
 
Tuna Mengi ya kujifunza kutoka kwao kasa kwenye kiwango cha ustaarabu naona wanatuzidi kidogo na ukitaka kulijua hilo jifanye sii wewe ulie coment uharo huu na uusome tena mara mbili mbili halafu ujitathmini
Kaka wakenya wana ustaarabu gani?, ukatili wa watu kuuliwa hovyo hovyo wakati wa chaguzi, chuki miongoni mwa jamii za kwao, ukabila uliokithiri, ujambazi uliopitiliza mipaka, wizi na rushwa iliyotamalaki, upendeleo kwa misingi ya ukabila, huo ustaarabu ni UPI unaosema sema wewe?, hao wakenya wenyewe wanaipenda Tanzania kwasababu ya kuvutiwa na wema, ustaarabu na upole wa watanzania
 
Tuna Mengi ya kujifunza kutoka kwao kasa kwenye kiwango cha ustaarabu naona wanatuzidi kidogo na ukitaka kulijua hilo jifanye sii wewe ulie coment uharo huu na uusome tena mara mbili mbili halafu ujitathmini

Teh teh teh tihiii
wewe ni mgeni hapa.
subiria uone comments ZAO.
 
Baaas, baas bas!.....totoo lenye midevu, usilie sana maumivu yatapungua tu. [emoji1]
 
Hata sisi tukisema'Tanzanians are ALBINO EATERS' hatukosei
Wala hamjakosea, kama ambavyo Kenya inavyozalisha terrorists na kuwapeleka Somalia. Kenya is a manufacturer of criminals and the biggest exporter of criminals to its neighboring countries.
 
Hahaha. Sasa nijibu, ndio Wakenya si wastaarabu, Wakenya ni vichwa ngumu sana, nakubaliana na wewe 100%. Sasa niulize, mbona Watanzania mnashinda hapa Jf Kenya forum usiku na mchana kama Wakenya ni wabaya?
 
Siku hizi vyuma vimekaza, hatukae tena vijiweni kupiga soga, hapa JF ndio pamekua kijiweni petu.
 
Wala hamjakosea, kama ambavyo Kenya inavyozalisha terrorists na kuwapeleka Somalia. Kenya is a manufacturer of criminals and the biggest exporter of criminals to its neighboring countries.
And you, what do you manufacture in your country? You are the biggest exporter of beggars, wizards and sorcerers.
 
And you, what do you manufacture in your country? You are the biggest exporter of beggars, wizards and sorcerers.
Yes, but they are harmless to other countries if you are not a fool, they never kill people or cause terror and crime. Kenya is a liability in EAC.
 
usahau mlivoosha barabara na OMO kisa Obama wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…