when Kenyans gather to see a Tanzanian

So this makes tz an'asset' in E.A.You always post nothing but prejudice. Talking about things that you don't even comprehend. From when did Kenyans become terrorists?
Since when Tanzanians became Albino eaters. This is how Kenyans act, whatever you do or say is correct, but when others do or say the like it changes to be prejudice.
 
ila kiukweli wakenya huwa ni watu wa ajabu sana juzi tulisikia wameanzisha na cryptocurrency yao sijui iliishia wapi ndio maana wana marais wawili rais wa wananchi na rais wa jamuhuri
nikumbushe mlivoosha barabara kwa omo kisa Obama wetu😀😀😀washamba wa dunia
 
Nyinyi na hio utakatifu wenyu imewafikisha wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] always behind Kenya.
nyie watu fedha nyingi mnakusanya toka vyanzo haramu kabisa mfano utalii wenu wa kule Mombasa mnawatumia mabwabwa kama kivutio cha utalii
 
Wakenya ni wajanja. Kenyans are business Oriented people. Ndio maana tuko kila mahali kibiashara. Ukienda Somali utapata mkenya ako bizz, Enda Uganda wakenya wamejaa, Tz pia tuko kwa wingi, Ethiopia bado wakenya wako, South Sudan, Rwanda the same...etc. mTanzania ni mtu mzembe kazi ni Uchawi na udaku. Alafu Kenya ikiwazidi mnaanza Kulialia hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pambaneni na hali yenyu.
nyie watu fedha nyingi mnakusanya toka vyanzo haramu kabisa mfano utalii wenu wa kule Mombasa mnawatumia mabwabwa kama kivutio cha utalii
 
Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
sikiliza wewe " IGNORANT PUMBUJI ", huwezi kua Raisi wa Marekani kama sio mmarekani. 44 th ni mmarekani otherwise asingekua Raisi. A legal kenyan citizen hawezi kusanya kijiji Tanzania, sawa PUMBUJI?
 
sikiliza wewe " IGNORANT PUMBUJI ", huwezi kua Raisi wa Marekani kama sio mmarekani. 44 th ni mmarekani otherwise asingekua Raisi. A legal kenyan citizen hawezi kusanya kijiji Tanzania, sawa PUMBUJI?
Dah! Hasira za nini bana? Donald Trump mwenyewe ndiye aliyeibuka na hii birth certificate ya Obama.
 
It takes a lot of effort to explain how Obama is a Kenyan than painting air.
 
Kumbukumbu: Watanzania na rais wao wakimshobokea mkenya Barrack Hussein Otieno Obama kutoka K'Ogello, Siaya. Hahaha! [emoji23]
Si bora Tz, Kenya si ndio mlifanya public holiday siku aliyochaguliwa. That was next level shobo, alafu Obama asivowapenda, akaamua kuja Tz kwanza.
 
Si bora Tz, Kenya si ndio mlifanya public holiday siku aliyochaguliwa. That was next level shobo, alafu Obama asivowapenda, akaamua kuja Tz kwanza.
Hahaha! [emoji1] Jombaa hujaona picha hapo za Barry O na bibi yake miaka ya 80s wakitoka kuvuna mahindi shambani kule kwao K'Ogello?
 
You were supposed to be the smart Kenyan in Jamiiforums. Huko Mombasa na Nyanza kuna umbali gani? This was a Photoshop on sale at eBay.
Dah! Hasira za nini bana? Donald Trump mwenyewe ndiye aliyeibuka na hii birth certificate ya Obama.
 
You were supposed to be the smart Kenyan in Jamiiforums. Huko Mombasa na Nyanza kuna umbali gani? This was a Photoshop on sale at eBay.
Jombaa, kama ulifatilia kampeni za Donald Trump utajua kwamba ni yeye mwenyewe ndiye aliyetoa hiyo birth certificate wakisaidiana na nduguye Obama, Malik Obama. Usijipe stress nyingi bana uraia wa Obama ni conspiracy moja bab kubwa kule U.S., hadi sasa hivi. Alafu unamaanisha kwamba kila mtu huwa anazaliwa kijijini kwao, kwa bibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…