when Kenyans gather to see a Tanzanian

Jeshi la ethiopia uwa linaingia mpk ndani ya kenya kutembeza kichapo
 
Okay serious saivi tuache masihara please.
Mimi nimeishi sana na wakenya kuanzia shule ya msingi nmekua na walimu wakenya wengi tu, Ukikaa nao uwa wanakua na pride flani ivi over Tanzanians na mimi sioni Kenyans kikubwa mnachotuzidi nashindwaga kuelewa apo
Tujadili hii sasa tuachane na masihara.
Hata huna haya ukitutukana mbwa. Nyie mnajiweka kwa category gani kama sio mbwa vilaza?
 
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?
 
Duuh ila inaweza kua reason, uyo Maya sijajua story yake
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?
 
Chunga usiugue ugonjwa wa moyo na presha kisa kuwaza wakenya. Rabana ndiye ajuaye roho za binadamu. Ni vibaya kuhukumu watu na wewe bado ni wa kuhukumiwa. Acheni kukalia kiti cha Jalali
Ni kweli uliyosema, ila na ninyi inabidi mjitafakari, otherwise mtaendelea kubaguana kwa missingi ya ukabila na crime rate itaongezeka
 
hii vita ya maneno ya Ktz na Ky sijui itaisha lini, but ukweli ni kwamba haijalishi utaifa watu huvutiwa na msanii husika na si vinginevyo
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.
 
ni kweli usemayo lkn kuna wapo wametoa mishipa ya hasira sana
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.
 
from your point of view then kanye west is kenyan and leo fedinard is ugandan
 
Ukabila upo Kenya na unaletwa na siasa. Kizazi kinachokuja kitaumaliza kwa sababu wengine hata hawajui lugha,mila na utamaduni wa kabila zao na kadri miaka iongezekapo ndio mila zinazidi kusahaulika

kuna jamaa will stone you death. unasema Kenya HAMNA ukabila wakati mwenzako anasema makabila for life.

CC: MK254 huyu anakiuka sheria yenu ya ku embrace makabila na matambiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…