when Kenyans gather to see a Tanzanian

when Kenyans gather to see a Tanzanian

Ninyi hamuelewani na nchi nyingi za Africa kutokana na kujifanya wajuaji sana, kutoelewana na watu au nchi zingine haina maana kupigana au kufungiana mipaka.

Kitendo cha kusuguana na majirani zenu karibu wote wanaowazunguka, iwe ni serikali kwa serikali, au wananchi kwa wananchi ni dalili ya wazi kwamba Kenya na wakenya kwa ujumly sio watu wazuri.

Uganda mahusiano yenu ni mabaya kati ya serikali na serikali na wananchi kwa wananchi (Migingo), Somalia ni serikali kwa serikali,. Ethiopia ni wananchi kwa wananchi. South Sudan ni serikali kwa serikali. Burundi, ni serikali kwa serikali. Tanzania....
Jeshi la ethiopia uwa linaingia mpk ndani ya kenya kutembeza kichapo
 
Okay serious saivi tuache masihara please.
Mimi nimeishi sana na wakenya kuanzia shule ya msingi nmekua na walimu wakenya wengi tu, Ukikaa nao uwa wanakua na pride flani ivi over Tanzanians na mimi sioni Kenyans kikubwa mnachotuzidi nashindwaga kuelewa apo
Tujadili hii sasa tuachane na masihara.
Hata huna haya ukitutukana mbwa. Nyie mnajiweka kwa category gani kama sio mbwa vilaza?
 
Okay serious saivi tuache masihara please.
Mimi nimeishi sana na wakenya kuanzia shule ya msingi nmekua na walimu wakenya wengi tu, Ukikaa nao uwa wanakua na pride flani ivi over Tanzanians na mimi sioni Kenyans kikubwa mnachotuzidi nashindwaga kuelewa apo
Tujadili hii sasa tuachane na masihara.
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?
 
Duuh ila inaweza kua reason, uyo Maya sijajua story yake
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?
 
Chunga usiugue ugonjwa wa moyo na presha kisa kuwaza wakenya. Rabana ndiye ajuaye roho za binadamu. Ni vibaya kuhukumu watu na wewe bado ni wa kuhukumiwa. Acheni kukalia kiti cha Jalali
Ni kweli uliyosema, ila na ninyi inabidi mjitafakari, otherwise mtaendelea kubaguana kwa missingi ya ukabila na crime rate itaongezeka
 
hii vita ya maneno ya Ktz na Ky sijui itaisha lini, but ukweli ni kwamba haijalishi utaifa watu huvutiwa na msanii husika na si vinginevyo
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.
 
ni kweli usemayo lkn kuna wapo wametoa mishipa ya hasira sana
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.
 
When his Kenyan biological father went to visit America and made obama.Nyinyi mnamjua leo ju alikua Président. Sisi tumekuwa na yeye from child hood. He frequently visited his hometown long before anybody knew him.
Najua uwivu inakumaliza[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 919783View attachment 919784
from your point of view then kanye west is kenyan and leo fedinard is ugandan
 
Ukabila upo Kenya na unaletwa na siasa. Kizazi kinachokuja kitaumaliza kwa sababu wengine hata hawajui lugha,mila na utamaduni wa kabila zao na kadri miaka iongezekapo ndio mila zinazidi kusahaulika

kuna jamaa will stone you death. unasema Kenya HAMNA ukabila wakati mwenzako anasema makabila for life.

CC: MK254 huyu anakiuka sheria yenu ya ku embrace makabila na matambiko.
 
Back
Top Bottom