when Kenyans gather to see a Tanzanian

when Kenyans gather to see a Tanzanian

Hakuna mkenya anaweza kukusanya kijiji namna hii akiwa Tz...
ila watanzania ni kawaida kwao kuwakusanya wakenya wakajazana mpaka maghorofani ili wamuangalie mtanzania
mwenye video ya mkenya au wakenya wakipokelewa na umati wa wa Tanzania naomba ailete hapa namaanisha video ya mkenya yoyote kuanzia rais wao
View attachment 919709


Ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom