Ukiona hivyo Mkuu ujue wengi wetu hatuna utaratibu huo katika maisha yetu ya kila siku.Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
Ukisema mzuri ni kwa kigezo kipi lazima uwe na content zipi ?Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
Exactly mkuu... Umeongea point sanaUkiona hivyo Mkuu ujue wengi wetu katika maisha yetu ya kila siku tunaenda enda tu.
Umeitendea haki ID yakoUkisema mzuri ni kwa kigezo kipi lazima uwe na content zipi ?
Mi naona picha ya mtoto anaomba ambayo imeambatana na quotation (religious) ambayo hata maneno 40 hayafiki basi hamna kengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ama ubaya wa uzi unapimwa na idadi ya wachangiaji e?Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
HapanaUzuri ama ubaya wa uzi unapimwa na idadi ya wachangiaji e?
Hapana
Kuna nyuzi hazina tija zina wachangiaji wengi... Zingine nzur zina wachangiaji wachache,japo si zote... Uzur wa uzi tunaangalia ujumbe uliopo ndani ya uzi husika na pia ujumbe tunaopata kutoka kwa wachangiaji wa uzi husika.Asante
Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
Uzur wa uzi tunaangalia ujumbe uliopo ndani ya uzi husika
Haya ndiyo maisha ya watu wanaompenda Mungu.