When prayer becomes your habit, miracles become your lifestyle

When prayer becomes your habit, miracles become your lifestyle

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1579895573251.jpeg
 
Wale wakaa pweke walikuwa wanasema usali mpaka ifikie wakati kila pumzi unayotoa ni sala
 
Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
Ukisema mzuri ni kwa kigezo kipi lazima uwe na content zipi ?

Mi naona picha ya mtoto anaomba ambayo imeambatana na quotation (religious) ambayo hata maneno 40 hayafiki basi hamna kengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matthew 7:7-8 New International Version (NIV)
Ask, Seek, Knock
7 “Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. 8 For everyone who asks receives; the one who seeks finds; and to the one who knocks, the door will be opened
 
Uzi mzuri umekosa wachangiaji....Chit chat bhana,ingekuwa ni nimemla bosi wangu kimzaha mzaha uzi ungekuwa unatafuta page ya kumi sasa.
Uzuri ama ubaya wa uzi unapimwa na idadi ya wachangiaji e?
 
Hivi asiyesali hapati miracles katika maisha yake? Hem' wasiosali wanyooshe mikono waeleze kama wanapata/hawapati baraka.
 
joanah;
Ndiyo huu uzi ni mzuri kutokana na ujumbe ulioshikilia... Lakini wachangiaji ndo hawakuwepo... Na kukosa wachangiaji kwa Uzi kama huu huku mingine ya anasa ikipeta inatoa taswira sisi ni watu wa namna gani.
 
Haya ndiyo maisha ya watu wanaompenda Mungu.
Ni wachache sana.

Jamii zetu zinampenda Mungu kwa matukio maalumu.
Mf, Pasaka, Kwarezma, mwezi mtukufu, au siku akipatwa na matatizo ya kazini, ndoani, pesa, watoto, kuugua au kuoa na kuolewa. Ndipo tunamkumbuka na kumsogelea Mungu. Na kwakuwa Mungu ni wa Upendo na huruma anatusaidi.

Na hata baada ya kufanikisha, hatuendelei tena. Tunasahau kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom