..when ur ex is Getting Married!

Haya sasa urafiki na ex...halafu mke wa mtu,..mmmhhhh
nimeshangaa hili. kwani mke wa mtu haruhusiwi kuwa na rafiki mwanaume? kama anaruhusiwa, ex ana tofauti gani na mwanaume mwingine? tatizo linakuja kama hujui mipaka yako, na kama hujui mipaka yako basi waweza ku-cross hata kwa huyo ambaye siyo ex. hayo ni mawazo yangu
 
acha upoyoyo eti'ulimhandle with extra care'...mke wa mtu mtarajiwa ndio unajifanya unajua mapenzi na macare yasiyo na maana,...labda hata huyo mdada kakosa soko ndio maana ana haha kukuletea card na kumsaliti jamaa yake...acha huu upuuzi mara moja dogo.
 
Yeah_kwa watu wa aina yangu,mke wangu hawezi kuwa na rafiki wa kiume hata kidogo_so to speak,...ila wapo wale waliosoma academy na kwenda ng'ambo kwa masomo ya juu ndio wanaoruhusu huu wendawazimu.
 
Yeah_kwa watu wa aina yangu,mke wangu hawezi kuwa na rafiki wa kiume hata kidogo_so to speak,...ila wapo wale waliosoma academy na kwenda ng'ambo kwa masomo ya juu ndio wanaoruhusu huu wendawazimu.
ha haaaaa haaaaaaaaaaa. sina uhakika kama I should feel sorry for your wife or you. all in all, be ready for heart attack
 
babu, halafu anasema mkewe marufuku urafiki na men. sijui atakuwa anamfungia ndani 24/7?
 
ha haaaaa haaaaaaaaaaa. sina uhakika kama I should feel sorry for your wife or you. all in all, be ready for heart attack

Sorry for my wife and you,.....thats how we do_girl.
 
uzuri wangu ex ni ex, hata aje na sura gani.
Ni kweli wanasumbua sana, lakini la maana tu ni kumfanya ajue kuwa yye ni ex, there is no way akarudi. kama ni urafiki tu haijalishi (na hili nalijua sana) ila mambo mengine NO

Haya sasa urafiki na ex...halafu mke wa mtu,..mmmhhhh

Dada yangu FP,

Sijui hata niseme nini.....Labda aje mzee mwenzangu Babu Asprin anisaidie.

From the bottom of my heart...Urafiki na Ex ni mwiko...Ni jambo la kuogopa kama ukoma. Si kwangu wala kwangu...Umezuiliwa chini na juu (I hope you know what I mean)!!

Babu DC!!
 
Yeah_kwa watu wa aina yangu,mke wangu hawezi kuwa na rafiki wa kiume hata kidogo_so to speak,...ila wapo wale waliosoma academy na kwenda ng'ambo kwa masomo ya juu ndio wanaoruhusu huu wendawazimu.

Hapa sasa wewe IGWE umeenda mbali,

Labda ukaumbe wako mwenyewe na utengeneze dunia yenu wawili tu.

Vinginevyo ama wewe au yeye atauvaa mkenge one day!!

Naongea kwa uzoefu wala siyo hadithi za kwenye vitabu!!

Babu DC!!
 
Hapa sasa wewe IGWE umeenda mbali,

Labda ukaume wako mwenyewe na utengeneze dunia yenu wawili tu.

Vinginevyo ama wewe au yeye atauvaa mkenge one day!!

Naongea kwa uzoefu wala siyo hadithi za kwenye vitabu!!

Babu DC!!

Hapa labda tueleweshane nini maana ya urafiki na mwanaume,..maake naona watu mmenielewa vibaya.
 
Wewe unajitambua,..hawa watu hawawezi kukuchezea mkuu.
 
Huyo bwana harusi mtarajiwa anaoa mtu asiye na msimamo. Mtu mwenye maadili legelege.

Yaani yeye bibi harusi mtarajiwa anakuletea kadi ya mwaliko yeye mwenyewe?

Kama bado mnapendana sana kwa nini sasa msiwaache hao mlionao halafu nyie muwe pamoja?

Wewe unasema uko kwenye mahusiano, yeye umesema karibu anaolewa. Lakini wote wewe na yeye bado mnapendana.

Talk about being confused!

Acheni maigizo. Kuibia siyo sifa wala siyo tabia nzuri. Au nyie mnaona raha mnavyoibia?
 
babu nakubali urafiki na ex ni wa kuuogopa kama ukoma. na mimi nimesema hivi, kwa ninavyojijua mimi, mtu akishapita amepita, na uzuri siwezi kuwa na watu 2 kwa wakati mmoja. kwa vile muda huu nina mtu, there is no way mtu mwingine akapata nafasi, either ex au mpya. kwa hiyo kwa upande wangu haijalishi najenga urafiki na nani; mdada, mkaka ex, not ex, wote ni sawa kwangu.
huyo ni mimi lakini, siyo lazima bibi awe kama mimi
 
Nyie ndo mnafanya tusiwaamini wanawake waliopoteza vyeti vyao. Ngoja wakutafunie mkeo.
 
I am very free my dear, and I am happy ................ kwa hiyo huna sababu ya kunionea huruma

Asiye free wala happy ni nani..?..unajifanya kuonea wenzako huruma,halafu wewe wakikuonea huruma unajifanya eti uko huru na furaha.
 
Tumefikia pahala watu wanaona sifa kutangaza utovu wao waadabu wazi wazi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…