..when ur ex is Getting Married!

Asiye free wala happy ni nani..?..unajifanya kuonea wenzako huruma,halafu wewe wakikuonea huruma unajifanya eti uko huru na furaha.
ha haaaaaa, hatugombani IGWE, samahani kama nimekukwaza
 
Last edited by a moderator:
Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!

Kama vipi tafta ambaye hajakuwa na X au ma X, i mean virgin then oa, naamini huyo hawezi kukucheat, we unaonaje? 😛ainkiller:
 
Kama vipi tafta ambaye hajakuwa na X au ma X, i mean virgin then oa, naamini huyo hawezi kukucheat, we unaonaje? 😛ainkiller:
ha haaaaaaa, hii theory ya WALIMWEUSI kuna mtu alishawahi kui-prove?
 
Last edited by a moderator:
Kama vipi tafta ambaye hajakuwa na X au ma X, i mean virgin then oa, naamini huyo hawezi kukucheat, we unaonaje? 😛ainkiller:

Naona poa_kama vip nilengeshee mdogo wako...we unaonaje?
 
Naona poa_kama vip nilengeshee mdogo wako...we unaonaje?

Sina mdogo bahati mbaya, mie ndo mdogo kwetu, au nikulengeshee kwa kigori mmoja amechezwa hivi majuzi tu, tena yeye ni mmakonde, will you?..........
 
Sina mdogo bahati mbaya, mie ndo mdogo kwetu, au nikulengeshee kwa kigori mmoja amechezwa hivi majuzi tu, tena yeye ni mmakonde, will you?..........

No..for you i will(kama ni mdada lakni)...LO!
 
Hahaha. Hebu achama mdomo kwanza nijaribu kukulenga kimeo chako. Infwakti nimefanya practice sana alaska kuimprove my shabaha skills.
afu ndo jamaa anakufanyia kama Nyani Ngabu anavyojisifu kwa Bishanga kwa kumchukulia mkewe!
 
Last edited by a moderator:
namuonea huruma huyo anayemuoa...maana najua akija kwako next week mtakumbushiana na baada ya ndoa bado mtakumbushiana...daaahhh....pole sana
 
haya mambo ya ex ex ex ex ex ex ex ex ex ex ex ex ex ex, yananiboa sana
utalikuta lijitu lina mtu mpya, bado kwenye bichwa lake kuna "X", linajiendekeza mpaka linajisahau kuishi tena, endekeza hayo ndo hutafurahia maisha tena, wawa kchwani mwako kutakuwa na "X" tu
 
.....sio tu utauwawa,bali utaliwa kiboga!watch out bro,stay away from her!do not entertain any,i say again any from her,kiukweli hampendani,si mngeoana?pliz,bado twakuhitaji jukwaani
 
lol...... mkonowapaka ndugu yangu, yaani hichi ndio kifo kitakachoniua pia ndugu yako......

Nina kipolo changu cha kudumu dah!!!!
 
Last edited by a moderator:

Km kweli unampenda bado just let her go and let it be. Sometimes inabidi ku sacrifice what we love ili mambo yaende.
After all si uko commited somewhere....................!!!!!!!!!!!!!

Afu si anakuja kuishi mkoa uanoishi utakuwa unaiba iba kiaina au? Kwa wanaume kuiba si inaruhuiwa, kimbembe ukikamatwa. Utauawa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…