Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tumefikia pahala watu wanaona sifa kutangaza utovu wao waadabu wazi wazi?!
Go figure!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefikia pahala watu wanaona sifa kutangaza utovu wao waadabu wazi wazi?!
Go figure!!!
kumbuka na huyo mkonowapaka naye kaoa, naye mkewe atajisikiaje?
ha haaaaaa, hatugombani IGWE, samahani kama nimekukwazaAsiye free wala happy ni nani..?..unajifanya kuonea wenzako huruma,halafu wewe wakikuonea huruma unajifanya eti uko huru na furaha.
Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
usijali........... cheers!Sorry_i draw it back...!
ha haaaaaaa, hii theory ya WALIMWEUSI kuna mtu alishawahi kui-prove?Kama vipi tafta ambaye hajakuwa na X au ma X, i mean virgin then oa, naamini huyo hawezi kukucheat, we unaonaje? 😛ainkiller:
Kama vipi tafta ambaye hajakuwa na X au ma X, i mean virgin then oa, naamini huyo hawezi kukucheat, we unaonaje? 😛ainkiller:
Naona poa_kama vip nilengeshee mdogo wako...we unaonaje?
Sina mdogo bahati mbaya, mie ndo mdogo kwetu, au nikulengeshee kwa kigori mmoja amechezwa hivi majuzi tu, tena yeye ni mmakonde, will you?..........
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???
Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee
Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.
Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
Happy Kuuawa.
...........ikaingia sms ambayo nimeisave jina la dada yangu...naifahamu iyo namba ni ya x wangu ambae ndie hasa mwanamke wangu wa kwanza..kwamba anaolewa..
huyu binti nilimpata kipindi nimemaliza kidato cha 4 (nlijitunzajee!) ...tulipendana sana..na ndie niliebahatika kuw amwanaume wake wa kwanza.....tulidumu nae sana hadi namaliza likizo ndefu ya mkapa to chuo....sijui nn kilitokea mawasiliano yakapungua hadi kuishia kuachana lakini bila ugomvi.........ila kila tulipoonana tena TULIKUMBUSHIA...:tape2:
amefanyiwa sendoff wiki kadhaa zilizopita na arusi ni mwezi ujao.mbaya zaidi anakuja kuishi mkoa ninao ishi.mwanzoni alikua mkoa mwingine..huyu binti huwa tukionana nguvu zinatuishiaga....tunapendana sana na hataki kunisahau though anajua am comited somewhere...............am just wondering what will happen; nakadi ya arusi ananiletea PHYSICALLY NYUMBAN next week I!!....nitauwawa jamaniii!!...