Hahahahaha, acheni kujitoa akili, ninyi mumesema hamjengi stadia kwasababu sio priority kwenu, hii maana yake miradi mnayojenga mnafuata priority ya nchi yenu.
Swali, katika nchi yenye tatizo kubwa la njaa, na upungufu mkubwa wa MAJI, hadi katika mji mkubwa kama Nairobi. Wewe ukiwa kama rais wa nchi, utachagua flyovers au food production projects ili kupambana na njaa kwanza?.
Ninyi tabia yenu ya kukwepa maswali mbayoulizwa badala yake mkajibu vilebavyoona ninyi inawapendeza ili kushinda discussion, is one of the reasons why Kenya kila mwaka mnapewa food donations.