Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Anatry kuprove anajua English... Watu kama Hao waangalie tu na upite.Mbona watanzania mpo hivi lakini? Kuna huyu jamaa anayejiita mgonjwa mahututi, kazi yake ni kuangalia makosa katika maandishi ya wakenya humu. There is another Tanzanian who conf
Wana hii haina hata choo.😂😂😂View attachment 937387
Not even modernis it an old modern stadium?
Uchafu mwingine usafishwe bana.
We don't compete with LDCs
Nina swali pia, ni lini Tz itakuwa serious kwenye michezo? [emoji15] Maanake raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au? [emoji15] Mnijibu fasta bana. 😎
Club bingwa ya CECAFA inatoka nchi gani?Nina swali pia, ni lini Tz itakuwa serious kwenye michezo? [emoji15] Maanake raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au? [emoji15] Mnijibu fasta bana. 😎
Jombaa, kwenye ranking za FIFA tumewafunika, kwenye mchezo pekee yake ambao huwa mnatapatapa nao. Ouch! [emoji38]Club bingwa ya CECAFA inatoka nchi gani?
Mabingwa wa kihistoria wa CECAFA ngazi ya vilabu wanatoka nchi gani?
Hahahaaaa mimi napenda kuongea na watu hawajasoma na wenye uelewa finyu
Teh teh teh ti hi
Bingwa wa soka kwa wanawake miaka miwili mfululizo hapa CECAFA ni nani?. Mbona umetoroka kule?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Jombaa, kwenye ranking za FIFA tumewafunika, kwenye mchezo pekee yake ambao huwa mnatapatapa nao. Ouch! [emoji38]
Hawa yap merkz inabidi waongeze spidi safari bado ndefuTZ SGR Update[emoji116][emoji116][emoji116]Hapa Kazi Tu
50% of earthwork is arleady done. Wako ndani ya muda..Hawa yap merkz inabidi waongeze spidi safari bado ndefu
Voliboli hahaNina swali pia, ni lini Tz itakuwa serious kwenye michezo? [emoji15] Maanake raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au? [emoji15] Mnijibu fasta bana. 😎
mbona unaogopa kujibu, mzee babaJombaa, kwenye ranking za FIFA tumewafunika, kwenye mchezo pekee yake ambao huwa mnatapatapa nao. Ouch! [emoji38]
Voliboli[emoji23]Voliboli haha
Hahaha jamaa kanifrahisha sanaVoliboli[emoji23]
Labda ni mchezo wa kutafuna githeri
Mshamba hujui volleyballHahaha jamaa kanifrahisha sana
Nacheza sanaMshamba hujui volleyball
All those statements other than the last one about GDP are your own fantasies. Too bad you couldn't notice the sarcasm.You don't have food
You don't have enough water
Unemployment is the highest in EAC
The highest crime rate
Biggest slums on the global
Yet you have bigger GDP, how can you explain this?