Wapi mall hapo? [emoji848][emoji848]Sisi huku hata malls government inawekeza. Sio kila kitu ni private sector.View attachment 937396View attachment 937397
Polesana kijana wataalamu walisha shuka zamaniπππHiyo Stadium tutaingoja miaka na mikaka.
Kwa wanawake; Harambee Starlets wapo sana, tafuta rankings za FIFA. Kenya Lionesses kwa raga ndio mabingwa wa Afrika. Kwenye voliboli, mpira wa wavu, Club championship kina dada wa Kenya ndio namba mbili Afrika baada ya tunisia, kimataifa wapo kwenye top three Afrika. Under 20 pia, mpira wa wavu, Kenya ni namba tano Afrika. Kwenye Hockey dada zetu wanaongoza ukanda huu wote wa E.&C. Africa. Mpira wa kikapu kwa kina dada Kenya imeshikilia nafasi ya kwanza E.Africa kwa miaka mitatu sasa. Alpine skiing kwa wanawake mkenya Sabina Wanjiku huwa anafuzu kwenye championship zote kule Europe kila mwaka. Kwenye riadha ndio usiseme, wakenya wameshikilia rekodi nyingi duniani hadi hazihesabiki. Vivian Cheruiyot naye amekuwa nominated kama World Athlete of the year 2018. Hapo sijaongea kuhusu wanaume, kwenye michezo mbali mbali.Bingwa wa soka kwa wanawake miaka miwili mfululizo hapa CECAFA ni nani?. Mbona umetoroka kule?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sawa mkuu yangu macho tu kama kawa kama Dawa.Polesana kijana wataalamu walisha shuka zamaniπππ
Zote ni correct, sasa mbona hutaki kukubaliana na ukweli huo?. You have the highest unemployment rate, hunger, and slums.Hizo za life expectancy ni za World Bank.
If you had gone to school you would understand. We can't have a higher life expectancy than you if our living standards are lower. Btw, in terms of hunger, you lead East Africa at 78% hungry. You're just in denial.Zote ni correct, sasa mbona hutaki kukubaliana na ukweli huo?. You have the highest unemployment rate, hunger, and slums.
Wewe umezaliwa na kukuzwa katika njaa, hukupata chakula bora na cha kutosha, ubongo wako umedumaa huwezi kukubaliana hata na Data za UN.Huwa nakuambia huna akili na huelewi
Nataka unyamaze leo, food security in Kenya and Tz in 2018 is the sameWewe umezaliwa na kukuzwa katika njaa, hukupata chakula bora na cha kutosha, ubongo wako umedumaa huwezi kukubaliana hata na Data za UN.
Wewe una matatizo ya akili, Mimi nimekupa data za UNDP zinazoonyesha kwamba unemployment Kenya is the highest, sasa wewe unabisha bila data, nikusaidieje?.If you had gone to school you would understand. We can't have a higher life expectancy than you if our living standards are lower. Btw, in terms of hunger, you lead East Africa at 78% hungry. You're just in denial.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Unemployment figures are normally vague. Different countries have different ways of classifying somebody as unemployed. You're stupid.Wewe una matatizo ya akili, Mimi nimekupa data za UNDP zinazoonyesha kwamba unemployment Kenya is the highest, sasa wewe unabisha bila data, nikusaidieje?.
Ngoja niseme hivi, haiwezikani kuwa na higher life expectance kwasababu hamna kazi and therefore your standard of living is low, those data are not true.
Kenyans mock Uhuru after receiving food donations from this desert countryNataka unyamaze leo, food security in Kenya and Tz in 2018 is the sameView attachment 938020
Cuban life expectancy 79.7 years (2016)Unemployment figures are normally vague. Different countries have different ways of classifying somebody as unemployed. You're stupid.
Tusije sikia mnalia tena njaa πππNataka unyamaze leo, food security in Kenya and Tz in 2018 is the sameView attachment 938020
Uko na utoto mobTusije sikia mnalia tena njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Cuba has higher standards of living than USA, stupid. Deal with your 78% hungry souls.Cuban life expectancy 79.7 years (2016)
USA life expectancy 78.8years (2016)
Huna akili wewe. Tunawapiga kila pembe unajaribu kupingana na ukweli. Na bado jiandae kwa bad news in a very near future.
What is standard of living?, which other parameters Cuba is above USA?, mention one only.Cuba has higher standards of living than USA, stupid. Deal with your 78% hungry souls.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Hunger remains Kenyans' most serious problem - Twaweza studyCuba has higher standards of living than USA, stupid. Deal with your 78% hungry souls.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
FAO - News Article: Tanzania: On the path to achieving food self-sufficiencyCuba has higher standards of living than USA, stupid. Deal with your 78% hungry souls.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters