When will Kenya have a new modern stadium??

When will Kenya have a new modern stadium??

Bingwa wa soka kwa wanawake miaka miwili mfululizo hapa CECAFA ni nani?. Mbona umetoroka kule?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwa wanawake; Harambee Starlets wapo sana, tafuta rankings za FIFA. Kenya Lionesses kwa raga ndio mabingwa wa Afrika. Kwenye voliboli, mpira wa wavu, Club championship kina dada wa Kenya ndio namba mbili Afrika baada ya tunisia, kimataifa wapo kwenye top three Afrika. Under 20 pia, mpira wa wavu, Kenya ni namba tano Afrika. Kwenye Hockey dada zetu wanaongoza ukanda huu wote wa E.&C. Africa. Mpira wa kikapu kwa kina dada Kenya imeshikilia nafasi ya kwanza E.Africa kwa miaka mitatu sasa. Alpine skiing kwa wanawake mkenya Sabina Wanjiku huwa anafuzu kwenye championship zote kule Europe kila mwaka. Kwenye riadha ndio usiseme, wakenya wameshikilia rekodi nyingi duniani hadi hazihesabiki. Vivian Cheruiyot naye amekuwa nominated kama World Athlete of the year 2018. Hapo sijaongea kuhusu wanaume, kwenye michezo mbali mbali.
 
Polesana kijana wataalamu walisha shuka zamani😂😂😂

Sawa mkuu yangu macho tu kama kawa kama Dawa.

Wacha sisi tuendelee na kuwaongoza kiuchumi, elimu, afya, ukulima, michezo, miundo mbinu afu tutafika huko Dodoma na kuicharaza Taifa stars nyumbani.
 
Wewe umezaliwa na kukuzwa katika njaa, hukupata chakula bora na cha kutosha, ubongo wako umedumaa huwezi kukubaliana hata na Data za UN.
Nataka unyamaze leo, food security in Kenya and Tz in 2018 is the same
tapatalk_1542469982710.jpeg
 
If you had gone to school you would understand. We can't have a higher life expectancy than you if our living standards are lower. Btw, in terms of hunger, you lead East Africa at 78% hungry. You're just in denial.

Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Wewe una matatizo ya akili, Mimi nimekupa data za UNDP zinazoonyesha kwamba unemployment Kenya is the highest, sasa wewe unabisha bila data, nikusaidieje?.

Ngoja niseme hivi, haiwezikani kuwa na higher life expectance kwasababu hamna kazi and therefore your standard of living is low, those data are not true.
 
Unemployment figures are normally vague. Different countries have different ways of classifying somebody as unemployed. You're stupid.
 
Unemployment figures are normally vague. Different countries have different ways of classifying somebody as unemployed. You're stupid.
Cuban life expectancy 79.7 years (2016)

USA life expectancy 78.8years (2016)

Huna akili wewe. Tunawapiga kila pembe unajaribu kupingana na ukweli. Na bado jiandae kwa bad news in a very near future.
 
Back
Top Bottom