Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii habari inahitaji thread yake!Uhuru trolled for receiving ‘food rations’ from UAE
Hahahahahahahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii habari inahitaji thread yake!Uhuru trolled for receiving ‘food rations’ from UAE
Hahahahahahahahahaha
Ifungulie Uzi tuwamalize.Hii habari inahitaji thread yake!
Wewe ni nyanyangu siwezi jibishana na wewe Leo. vipi maandalizi?Hamjazuiliwa. But don't rush to the mods once defeated. We know you
Arusha, KijengeWewe ni mkaazi wa arusha au dar?
Am sorry... Nilikua niulize huyo jamaa anaargue kama mtoto😅😅😅 but nkakoseaSamahani sikuelewi
Haina noma. Nili~noticeAm sorry... Nilikua niulize huyo jamaa anaargue kama mtoto😅😅😅 but nkakosea
The one they have is old.
NdondiNina swali pia, ni lini Tz itakuwa serious kwenye michezo? [emoji15] Maanake kwenye raga hampo, voliboli hampo, cricket hampo, hockey hata hamjui ni nini, riadha sasa ndio usiseme, soka mpo mpo tu. Hata na kabbadi pia imewalemea? Stadium ni za kufanyia mikutano ya sisiemu au? [emoji15] Mnijibu fasta bana. 😎
Hahaa! [emoji1]Ndondi
Mshawahi shinda Gold medala yeyote kwa Dondi?Ndondi
na kutwangwa na lesothoNdondi
Medala ndiyo nini?Mshawahi shinda Gold medala yeyote kwa Dondi?
Zaidi ya riadha, mshawahi shinda gold medal katika mchezo gani?Mshawahi shinda Gold medala yeyote kwa Dondi?
Jombaa belt ya World Boxing Council(WBC) Super Bantam Weight kwa kina dada imeshikiliwa na mkenza Zarika Fatuma tangu 2016.Mshawahi shinda Gold medala yeyote kwa Dondi?
MedaliMedala ndiyo nini?
Kwa sasa anatumia madawa ya kulevya😂😂😂😂 Hana hata mia mfukoni😂😂😂😂Jombaa belt ya World Boxing Council(WBC) Super Bantam Weight kwa kina dada imeshikiliwa na mkenza Zarika Fatuma tangu 2016.
Kenya imeongoza dunia mara kadhaa kwenye michuano mbalimbali, raga, riadha, raga kwa kina dada Afrika, mpira wa wavu kwa kina dada Afrika. Kwenye riadha wakenya wameongoza dunia, kwa wingi wa medali na sio gold medal tu zilizoshinda na watu binafsi. Olympics zilizokuwa Beijing.Zaidi ya riadha, mshawahi shinda gold medal katika mchezo gani?
Mbona kama hizo belt za dunia Tanzania tumechukua hazina idadi, Francis Cheka na RASHIDI Matumla walizichukua nyingi Sana, sasa hivi bondia namba moja Africa ni mtanzania Hassan Mwakinyo.Jombaa belt ya World Boxing Council(WBC) Super Bantam Weight kwa kina dada imeshikiliwa na mkenza Zarika Fatuma tangu 2016.