When will Kenya have a new modern stadium??

chochote tunaweza kufanya vizuri kufanya kenya yetu nzuri ya maendeleo, tunapaswa kufanya hivyo. Ikiwa nchi inaloundwa, watu wataendelea moja kwa moja
 
Ndondi
 
Jombaa belt ya World Boxing Council(WBC) Super Bantam Weight kwa kina dada imeshikiliwa na mkenza Zarika Fatuma tangu 2016.
Kwa sasa anatumia madawa ya kulevya😂😂😂😂 Hana hata mia mfukoni😂😂😂😂
 
Zaidi ya riadha, mshawahi shinda gold medal katika mchezo gani?
Kenya imeongoza dunia mara kadhaa kwenye michuano mbalimbali, raga, riadha, raga kwa kina dada Afrika, mpira wa wavu kwa kina dada Afrika. Kwenye riadha wakenya wameongoza dunia, kwa wingi wa medali na sio gold medal tu zilizoshinda na watu binafsi. Olympics zilizokuwa Beijing. Mchuano wa kimataifa wa raga HBSC Rugby Singapore7s. Under-20 World Athletics Championship, mwaka huu, kule Tampere, Finland.
Kenya Lionesses waliposhina ubingwa wa raga kwa kina dada Afrika, mapema mwaka huu kule Gaborone, Botswana.
 
Jombaa belt ya World Boxing Council(WBC) Super Bantam Weight kwa kina dada imeshikiliwa na mkenza Zarika Fatuma tangu 2016.
Mbona kama hizo belt za dunia Tanzania tumechukua hazina idadi, Francis Cheka na RASHIDI Matumla walizichukua nyingi Sana, sasa hivi bondia namba moja Africa ni mtanzania Hassan Mwakinyo.
 
Malkia Strikers, timu ya Kenya ya mpira wa wavu kwa kina dada, walipofuzu kuenda World Cup mwaka jana. Baada ya kushinda ubingwa wa Afrika kwa mara ya kumi kule Yaounde, Cameroon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…