YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
stfu >>>
😱 😱 😱 🤣🤣🤣🤣 we are 6 months away, he must be shitting his pants.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
stfu >>>
Sio kwamba mliona mbali,bitter truth is,mlihaidiwa Modern electric SGR,badala yake,mmeletewa mitungi ya busaa!hahaha! Alafu,ni kosa kutumia hali ya nchi nyingine na kufananisha nchi nyingine, na hiki ndio huwa tunwakataza humu kila siku kwamba,C&P is harmful to your health.Duh... tuliona mbali sana kwa SGR yetu.
Halafu Tz na mbwembwe zote zile mpaka leo kale kasafu kao ka Dar-Moro sijui wamekaficha wapi, maana walisema katawashwa mwaka jana Novemba....
Sio kwamba mliona mbali,bitter truth is,mlihaidiwa Modern electric SGR,badala yake,mmeletewa mitungi ya busaa!hahaha! Alafu,ni kosa kutumia hali ya nchi nyingine na kufananisha nchi nyingine, na hiki ndio huwa tunwakataza humu kila siku kwamba,C&P is harmful to your health.
aibu!!!!Sijui mtatoka vipi kwenye hiyo aibu mliyojitia. Sisi leo hii tunajivunia SGR 600km.
aibu!!!!
aibu huoni wewe mwenye gusi la karne ya 19 tuone sisi!!!!au unadhnu yapy markenzy wamekimbia site[emoji16][emoji16][emoji16].
jiuguze kimya kimya bana.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
kupanga tu,hata wewe ulipanga mwaka huu ujenge nyumba cbd.ila utekelezaji sasa ndio yataka msuli.Halafu mlikuta Kikwete ameshapanga iweje reli yote hiyo mkaharibu kwa mihemko, leo ni aibu sijui mumekwama kwenye pori ipi, mliongopea mtazindua mwaka jana 2019, tunaelekea kumaliza 2020 bado ni ngonjera, sijui mtaficha wapi uso kwa aibu, tatizo wazembe sana nyie.
Sisi tunajivunia SGR 600km
kupanga tu,hata wewe ulipanga mwaka huu ujenge nyumba cbd.ila utekelezaji sasa ndio yataka msuli.
bila shaka nawewe ulikuwa na shauku ya kuona train ya kwanza ya umem EA[emoji16][emoji16][emoji16].ndio hivyo ila hijakwama popote.kuwa na subira utapanda tu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
wewe kaa katika safety mode hivyo ili usijezimia kwa mfadhiko.Kila kitu alikua ameweka sawa yaani reli ilikua irindime Tanzania yote, aisie mngeturingishia sana, ila leo ni mikwara na makelele mumekwama maporini.
Halafu mlikuta makampuni ya ndege mkayapiga chini yote, hebu soma huu uzi hapa uone Watanzania wanavyoteseka kwa ajili ya kukurupuka kwenu Watumiaji wa usafiri wa ndege tunajuta kwanini Serikali imenunua ndege zake
wewe kaa katika safety mode hivyo ili usijezimia kwa mfadhiko.
kuwaringishia kuko pale pale.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
nyie endeeni,sijui lengo ni kufanya kwa usahihi ama kututangulia sijajua.Na bado sasa tumeshawekeza bandari kavu Naivasha, tunaandaa kuendelea na ujenzi hadi kitu kitue DRC nyie mkihangaika kuchimba mahandaki Dar-Moro, utakuta labda hata mkandarasi mnamzngua balaa kwenye mambo ya hela maana haileti manitiki mkwame kwa kasafu kadogo ka 200km wakati sisi tayari tumepiga mara tatu ya hiyo.
Bagamoyo ametupea advantage Lamu idominateKila kitu alikua ameweka sawa yaani reli ilikua irindime Tanzania yote, aisie mngeturingishia sana, ila leo ni mikwara na makelele mumekwama maporini.
Halafu mlikuta makampuni ya ndege mkayapiga chini yote, hebu soma huu uzi hapa uone Watanzania wanavyoteseka kwa ajili ya kukurupuka kwenu Watumiaji wa usafiri wa ndege tunajuta kwanini Serikali imenunua ndege zake
Comment matope toka inanza mpka inaishaa endelea n ujinga unadhani sisi ni nyie....kifupi tu jua akuna mahali train y bongo itakutan n barabara ,wanyama wala binadan....sabab kuna vivuko n itakuwa fenced...so tuliza kendeTanzania SGR will suffer the fate like Ethiopia because the trains have no way leave but rather level crossing (also called a grade crossing, railway crossing, or a railroad crossing). This means that the grades (the road and the track) are not separated by using a bridge or a tunnel. Secondly, i doubt the demand for train services to the west of the country given than majority of Tanzanians live along the coast, southern part of the country and along the northern border with Kenya.
The train is headed west to a sparsely populated part of the country. Thirdly, Power capacity in Tz to power the trains is lacking remember the train power is dedicated power and is not shared. If this train will ever move and assuming they sort our power issues, it will be once a day therefore economically nonviable business. Tanzania built their SGR not because there was a demand but because it wanted to compete with Kenya.
Blablabla....nothing in it....stay calm and wait..."They are still ahead of us", Magufuli can declare it a success no matter what failures, anybody who says anything contrary to that will be arrested.
nyie endeeni,sijui lengo ni kufanya kwa usahihi ama kututangulia sijajua.
ila ninchofaham ni kwamba sisi tz,tunaifungulia EA na kati mlango wa kiuchumi ndani ya miaka 5 ijayo.
huko kuchimba lazim tuchimbe maana hatujengi upuuzi wa hela kubwa.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Aliye kwambia ni km 200 tu zinazo jengwa nani...n pili jua electrified line so show respect when you talk about it....because u dont have one.....so blablabla peleka ukooNa bado sasa tumeshawekeza bandari kavu Naivasha, tunaandaa kuendelea na ujenzi hadi kitu kitue DRC nyie mkihangaika kuchimba mahandaki Dar-Moro, utakuta labda hata mkandarasi mnamzngua balaa kwenye mambo ya hela maana haileti manitiki mkwame kwa kasafu kadogo ka 200km wakati sisi tayari tumepiga mara tatu ya hiyo.
Aliye kwambia ni km 200 tu zinazo jengwa nani...n pili jua electrified line so show respect when you talk about it....because u dont have one.....so blablabla peleka ukoo
Huwa tumewatangulia kwa kila kitu, leo hii mizigo inapandisha SGR 600km, ndio la msingi, siku zote kwenye utekelezwaji wa miundo mbinu, unapaswa ujue kutenganisha bla bla na utendaji, watu watachoka makelele yako, leo bomba la mafuta mumeangukia pua, mkawakoroga wakulima wa korosho, mumeingia migogoro kwenye mipaka na majirani wote kuanzia Zambia mpaka Kenya, kwenu huko hata kamkuu ka wilaya kana uwezo wa kufunga mpaka, hamfahamiki kiongozi nani, kila mtu mikwara na visasi....ujamaa uliwalemaza nyie watu.
next time ujue kutofutisha,train ya umeme na utumbo.Kamilisha hata kasafu kamoja ndio uje na bla bla, mlisema Novemba mwaka jana mnasafiri kwa "bureti treni", leo tunaelekea kukamilisha 2020 bado bla bla...
[emoji16][emoji16][emoji16]hatukatai mnatutangulia kila kitu,ila hamfanyi kwa usahihi.bomba la mafuta lipi unazungumzia ya kupiki au??maan lile la petroleum deal done,utekelezaji unaanza mwakani.
kuhusi hiyo SGR yenu sioni ni kipi unapigia kifua,kwani tulianza kujenga pamoja!!!si mlitangulia kabla,ajabu nini tukiwa nyuma yenu kumaliza!!!
mgogoro wa mipaka ni Kenya ndio imegombana na majirani wote wanomzunguka,WHY sababu ya roho mbaya.sisi hatuwezi gombana na mtu kwenye mipaka jamaa yangu,tunaheshimika sana.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app