next time ujue kutofutisha,train ya umeme na utumbo.
hilo dude lenu mmejenga karne hii ya 21 halifa kutajwa popote katka mazungumzo.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
SGR ya kisasa ikoje[emoji23][emoji23]Treni ya umeme bla bla mpaka leo, wabongo bana uzembe kupita maelezo, sisi tuna SGR ya kisasa 600km...
huna taarifa kama gharam ni kubwa tofuti na ilivyo tarajiwa!!!!Hatufanyi kwa usahihi kivipi leo SGR 600km mizigo inapandisha na kushuka nyie mumekwama, vipi kile kichwa cha treni mlileta eti ndio bureti...
SGR to nowhere, alafu hiyo yenu tumeishawaambia ni ya 18thc,gari moshi,nyinyi ndio mnaona aibu,mmeibiwa na wachina.Sijui mtatoka vipi kwenye hiyo aibu mliyojitia. Sisi leo hii tunajivunia SGR 600km.
Ati SGR ya kisasa?unaumwa.Treni ya umeme bla bla mpaka leo, wabongo bana uzembe kupita maelezo, sisi tuna SGR ya kisasa 600km...
huna taarifa kama gharam ni kubwa tofuti na ilivyo tarajiwa!!!!
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
SGR ya kisasa hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ni nyimbo mlikaririshwa ila naona bado hamjapewa wimbo mpya wana Lumumba, huo watu washauchoka, treni ya bureti imesubiriwa sasa tunakwenda 2021.
Anyway nakuaacha nataka nifuatilie taarifa za tanzia, tumempoteza rais mkaidi wa corona....mkewe yuko huku kawahi Nairobi mapema nafuu yake mjanja.
Tunajua Kikwete alikuwa mnyonge sana kwenu kwa sababu alizembea mkachukua pipeline, mkaunda CoW,mkawa mkichukua Mali zetu na kujitajirisha,mkahidho hadi Tanzanite,mkashawishi hadi Rwanda ijenge SGR kupitia kamapala,lakini Magufuli alipoingia tu,yoote yakabadilika.Kikwete alisaini miataba yaSGR kama hiyo ya kwenu ya kijinga tukaifuta,mlitaka tufanane,lakini wapi, mmebaki na kilio nyinyi wenyewe.Hao wachina tuliwashtukia mapema tukaqapiga chini nyinyi mkaendelea.sisi hatuna haraka ndugu,tunataka tutoke na kitu cha maana na sio mitungi ya busaa.Halafu mlikuta Kikwete ameshapanga iweje reli yote hiyo mkaharibu mipango yake kwa mihemko, leo ni aibu sijui mumekwama kwenye pori ipi, mliongopea mtazindua mwaka jana 2019, tunaelekea kumaliza 2020 bado ni ngonjera, sijui mtaficha wapi uso kwa aibu, tatizo wazembe sana nyie.
Sisi tunajivunia SGR 600km