Where are you my dream husband?

Mwenyezi Mungu akujaalie upate haja ya moyo wako.
NB:
Hapo kwenye degree, kwa umri wako huo na huyo unayemtaka, vyuo vilivyokuwa vinatoa digrii miaka hiyo vilikuwa vichache na wengi hawakujaaliwa kufika elimu hiyo... Mi naona ukimpata hata aliyeishia form four itakuwa poa tu... Akiwa mpambanaji siku hizi digrii zinapatikana kirahisi tu...
 
am here my dream wife ila ttzo langu ni kirikou aka joti, am i qualifying?
 
Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi Na mrefu mwenye nyama nyama(Sina maana mbaya Hapa, Nina maana Sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)

SIFA ZANGU
3.Nina Degree( vyeti original)
8.Mrefu wa kati ( umbo la kike)

Hizo sifa zimeniacha hoi. nimecheka sana
 

Nimechekaa sana.. hivi vigezo ni wanaume wachache mno wataweza kuwa navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…