Where are you my dream husband?

Where are you my dream husband?

Mwenyezi Mungu akujaalie upate haja ya moyo wako.
NB:
Hapo kwenye degree, kwa umri wako huo na huyo unayemtaka, vyuo vilivyokuwa vinatoa digrii miaka hiyo vilikuwa vichache na wengi hawakujaaliwa kufika elimu hiyo... Mi naona ukimpata hata aliyeishia form four itakuwa poa tu... Akiwa mpambanaji siku hizi digrii zinapatikana kirahisi tu...
 
Ni tumaini langu wote wazima.
_ Nipo Hapa kumtafuta Soul mate Wa maisha Ambaye ana uhitaji Wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila MTU Na MTU wake kwa muda aliopanga Mungu.Hata ikichelewa.
Kama kwa Bahati mbaya sijapata kote Na moyo Wangu ukanisukuma nije Hapa naamini Mungu atanisaidia na Nina imani kubwa ya kumpata 1 sahihi.
Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi Na mrefu mwenye nyama nyama(Sina maana mbaya Hapa, Nina maana Sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)
2.Awe na Degree Na kuendelea mbele
3.Awe Na kipato cha kuendesha maisha
4.Awe mkristo (Lutheran au morovian au cathoric itakuwa nzuri.
5.Umri kuanzia 35-46
6.Awe hajawai kuoa hapo nyuma ndoa yoyote ile.(iwe bomani au kanisani)
7.Akiwa Na Mtoto Mmoja au wawili Sio mbaya nitawalea kama Wangu)
8.Awe Na hofu ya Mungu, awe Na Upendo Wa Dhati,awe mwenye Huruma,tujaliane nyakati zote.Anijali.Anibembeleze( Napenda kudekezwa(sifa ya mwanamke hii)
9.Awe anaishi Dar.
10.Awe serikalini au mwajiriwa binafsi
SIFA ZANGU
1.Nina miaka 32
2.Mwajiriwa Serikalini
3.Nina Degree( vyeti original)
4.Nina Mapenzi Na Huruma ya kweli
5.Najitegemea( nimeshaanza maisha)
6.Nina Mtoto 1( sijawai olewa)
7.Rangi maji ya kunde
8.Mrefu wa kati ( umbo la kike)
9.Mtoto pekee kwa Baba mzazi.
10.Nimekomaa kifikra Na kiakiri .
NB:Mengine kwa aliye na utayali Pm
Pia id mpya kwa jili ya kutoa utani.Nipo
more than serious.
Utani ,kejeli sitapenda.Nitapokea ushauri wa kujenga.Mungu Nisaidie kwa hili hitaji langu.Atokee MTU sahihi Ambaye atakuwa Tayari kuanza familia. Ndani ya mwaka huu.
Pia nilichojifunza Kikubwa aina ya maisha ya MTU inaweza pelekea kutopata au kuchelewa tena kiutani tani.Mfano kazini nyumbani unajifungia,au kuwa busy sana.Au unavyojiweka MTU anajua unaye MTU.Hii imenitokea namwambia MTU Unajua seriously sina MTU Watu wanakataaa Na kujua im joking ( au nachagua sana au unakutana Na MTU mnatofautiana kibinadamu(kwa kukuficha baadhi ya mambo so Tuwe wa kweli tokea mwanzo) pia najua vigezo vyangu hapo juu kuwaxclude baadhi ya watu nitapingwa. But jamani tuwe wakweli. .mbona hata wanaume mna preference zenu mfano mwembamba,mweupe au mnene.So msielewe vibaya.Nimejitetea sana ili kupunguza malalamiko.Wapo Watu Sasa ivi wanasubiri MTU a post waanze Kumponda Na kukatisha tamaa.
Poleni kwa gazeti refu.
Aksanteni.
am here my dream wife ila ttzo langu ni kirikou aka joti, am i qualifying?
 
Sifa za Mchumba ninayewish:
1.Awe mweusi Na mrefu mwenye nyama nyama(Sina maana mbaya Hapa, Nina maana Sio mwembamba sana)plizzz asiwe mfupi(mrefu anajijua)

SIFA ZANGU
3.Nina Degree( vyeti original)
8.Mrefu wa kati ( umbo la kike)

Hizo sifa zimeniacha hoi. nimecheka sana
 
Nimechekaa sana.. hivi vigezo ni wanaume wachache mno wataweza kuwa navyo
 
Back
Top Bottom