Where are you my dream husband?

Where are you my dream husband?

Naona level ya Elimu nayo ni kigezo,,,
Sasa wengine sisi kina bashite si tutakosa wake
Usijali. ....watakuja tu. Tusubiri wenye Degree waishe kwanza. ...[emoji54][emoji54][emoji54]
 
Nahisi nyakati zimebadilika sana, sisi enzi zetu hatukuwa na vigezo vya urefu, rangi, elimu.

Tulizingatia tabia na uwezo wa kufanya kazi (siyo mvivu), naona siku hizi vijana mnaweka masharti mengi sana kiasi kwamba nawaza ingekuwaje ningekuwa sijaoa.
Ukisoma vizuri Ndo humohumo.
 
Mungu akufungulie mlango Preciouss maana hitaji lako ni jema kabisa. Anayekuponda atakuwa hana maana kabisa. Endelea kushikilia maono yako --- Mithali 23:7 7 Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. -------- gangamala na huyo soul mate unayemuona nafsini mwako; na ultimately atakuja.
Ameeen!
 
Kwa vigezo hivi.....Nakushauri tu uende sayari nyingine ndio utapata wa kukufaa
 
Back
Top Bottom