Sumba-Wanga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 5,353 Reaction score 1,234 Oct 21, 2014 #1 Wanajamvi, Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya. Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati. Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya Tanzania ambayo ni up to date. Natanguliza shukrani zangu
Wanajamvi, Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya. Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati. Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya Tanzania ambayo ni up to date. Natanguliza shukrani zangu
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Oct 21, 2014 #2 google administrative map of tanzania.
Kibuja JF-Expert Member Joined Aug 12, 2009 Posts 510 Reaction score 90 Oct 22, 2014 #3 Sumba-Wanga said: Wanajamvi, Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya. Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati. Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya Tanzania ambayo ni up to date. Natanguliza shukrani zangu Click to expand... Unaitaka kwa ajili ya nini? Kuweka ukutani au kwenye document ya shule? Mimi ni mtaalam wa Geographic Information System (GIS) natengeneza maps nzuri ni PM
Sumba-Wanga said: Wanajamvi, Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya. Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati. Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya Tanzania ambayo ni up to date. Natanguliza shukrani zangu Click to expand... Unaitaka kwa ajili ya nini? Kuweka ukutani au kwenye document ya shule? Mimi ni mtaalam wa Geographic Information System (GIS) natengeneza maps nzuri ni PM