Where can I get the recent map of Tanzania?

Where can I get the recent map of Tanzania?

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wanajamvi,

Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya.

Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati.

Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya Tanzania ambayo ni up to date.

Natanguliza shukrani zangu
 
Unaitaka kwa ajili ya nini? Kuweka ukutani au kwenye document ya shule? Mimi ni mtaalam wa Geographic Information System (GIS) natengeneza maps nzuri ni PM
 
Back
Top Bottom