nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Namba ya nini shekhe:Ni uzi namba gapi?
Ingia search engines kisha andika....Je? Wajua dunia yetu ni ndogo kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba ya nini shekhe:Ni uzi namba gapi?
Namba ya nini shekhe:
Ingia search engines kisha andika....Je? Wajua dunia yetu ni ndogo kiasi gani
Sina uhakika kama umetafakari kabla ya kugonga post.Watu wengi huwa wanauliza swali hili mara nyingi sana kama kupinga au kujaribu kuonyesha kuwa hakuna Mungu lakini mimi leo nataka nikwambie Mungu yupo na ndiye aliyezifanya mbingu na nchi ktk physics kuna vitu vitatu time space matter mwanzo sura ya kwanza inasema hapo mwanzo yaani in the beginning (time) God created the heavens (space) and the earth (matter) to create this lazima alikuwa outside ya haya yote ukiuliza swali hili maana yake ni kuwa Mungy wako ni limited God is unlimited he is far very far beyond everything ni hayo tu
Umeeleza vizuri sana ila niwachache sana watakao kuelewa Mkuu. Mungu siyo Mtu wala kitu, kama tulivyoaminishwa kwenye dini zetu (hasa Ukristo na uislamu). GOD is omnipotent (ulimited power) ambayo mtu yoyote aki access hii ngovu he/she can do anything in this world. Yesu aliacquire hiii nguvu ndiyo maana aliweza kuamlu chochote na kikawa. Mambo ya kuambiwa kuwa amini tu bila kureason mimi nilishayakataa. Hii nguvu inaweza kuumba chochote kabisa
Kwa mantiki hiyo Mungu yupo baina ya hayo uliyoyataja na sio uwepo halisi?
Wapi imeandikwa kuwa Yesu alikuwa binadamu wa kawaida kama mimi? Historia za YESU imeandikwa katika biblia, au kuna wengine waliomuona Yesu na kuandika habari zake zaidi ya biblia? Na kwa ushahidi huo huo wa maandiko ilikuwaje wale wafuasi wake nao wakawa na uwezo huo bila kwenda kufanya meditation?
Angalia hapa unaposema inasadikiwa, na nani? Simple logic tu, mtoto wa miaka 12 anaweza akaacha familia yake akaenda kuishi porini aanze kupractise kitu ambacho kwenye jamii yake kwa maana ya wazazi, walezi hawakifanyi?
Hizi assumption lazima uzi back na strong evidence si hekaya kutoka hewani mkuu
Bado hujathibitisha kuwa Yesu alienda kujifunza meditation akiwa na miaka 12, refer hivyo vitabu vyako ku substantiate hoja yako, hivyo vitabu vingine vinipe nini cha ziada kuhusu kumjua Yesu? Uniambie Quran nani alikiwepo wakati wa Yesu katika waandishi wa Quran? Wewe ndiyo unapotaka kukosa maarifaNdivyo ulivyodaganywa na umekubali kuwa habari za yesu zipo ndani ya bibilia tu? Ni Bibilia ipi unayoiongelea? Unayafahamu maisha ya utoto wa yesu kabla hata ya miaka 30 alikuwa anafanya nini? Unafahamu Misri YESU kakaa miaka Mingapi? na wakati huo vyuo vya elimu ya juu ilikuwa dunia inaitafutia wapi?
Umeshawai kuona injili kama ilivyoandikwa na Thomas, AQUARIAN, Maria Magdalena, James? Umewai kusoma hadithi za Yesu ndani ya QURAN? Umewai kusoma kitabu kinaitwa RIGVEDA (RG VEDAS) is ana Ancient Indian pamoja na Brahmi script? au ndio ukipigwa KOFI la Kushoto na MPE na la Kulia pia?
MY PEOPLE ARE DESTROYED FOR THE LACK OF KNOWLEDGE.
Hili Nitatizo kubwa kwa jamii yetu watu weusi. Hatusomi vitabu. Watu wanangángánia biblia tu. Eti kwa msingi wa Biblia, jamii yetu ni wavivu wakutafuta maarifa. Akiwa engineer basi anachojua ni mambo ya engineering tu. Mungu waliyetuaminisha wazungu siye Mungu wa kweli. Kumbuka kabla ya kuja kwa dini ya kikristo na Kiislamu, Waafrika (wazee wetu) walikuwa wakitumia hizi nguvu kutenda mambo makubwa mno. Ukiwaambia watu kuwa Yesu alikuwa Mwadamu kama wewe na mimi hawakubali kabisa kwa kukosa maarifa.Ndivyo ulivyodaganywa na umekubali kuwa habari za yesu zipo ndani ya bibilia tu? Ni Bibilia ipi unayoiongelea? Unayafahamu maisha ya utoto wa yesu kabla hata ya miaka 30 alikuwa anafanya nini? Unafahamu Misri YESU kakaa miaka Mingapi? na wakati huo vyuo vya elimu ya juu ilikuwa dunia inaitafutia wapi?
Umeshawai kuona injili kama ilivyoandikwa na Thomas, AQUARIAN, Maria Magdalena, James? Umewai kusoma hadithi za Yesu ndani ya QURAN? Umewai kusoma kitabu kinaitwa RIGVEDA (RG VEDAS) is ana Ancient Indian pamoja na Brahmi script? au ndio ukipigwa KOFI la Kushoto na MPE na la Kulia pia?
MY PEOPLE ARE DESTROYED FOR THE LACK OF KNOWLEDGE.
Bado hujathibitisha kuwa Yesu alienda kujifunza meditation akiwa na miaka 12, refer hivyo vitabu vyako ku substantiate hoja yako, hivyo vitabu vingine vinipe nini cha ziada kuhusu kumjua Yesu? Uniambie Quran nani alikiwepo wakati wa Yesu katika waandishi wa Quran? Wewe ndiyo unapotaka kukosa maarifa
Hili Nitatizo kubwa kwa jamii yetu watu weusi. Hatusomi vitabu. Watu wanangángánia biblia tu. Eti kwa msingi wa Biblia, jamii yetu ni wavivu wakutafuta maarifa. Akiwa engineer basi anachojua ni mambo ya engineering tu. Mungu waliyetuaminisha wazungu siye Mungu wa kweli. Kumbuka kabla ya kuja kwa dini ya kikristo na Kiislamu, Waafrika (wazee wetu) walikuwa wakitumia hizi nguvu kutenda mambo makubwa mno. Ukiwaambia watu kuwa Yesu alikuwa Mwadamu kama wewe na mimi hawakubali kabisa kwa kukosa maarifa.
Sina mpango wa kutafuta elimu zidanganyazo kwa kisingizio cha mapinduzi ya kifikra, wewe uliyekuja na hoja ya kuwa Yesu alikuwa ni mtu wa kawaida unipe sababu ya wewe kufikia conclusion hiyo. Kunipa Quran ili nimjue Yesu ni uendawazimu labda tunapishana uelewa na imani, reference yangu kubwa ambayo sina mashaka nayo ni biblia, na injili zilizojumuishwa mle ziliandikwa na watu waliokuwa na ukaribu na matukio.Mkuu nimekupa tu indicator ya vyanzo vya wewe kuweza kufanya tafiti ili ujielimishe. Uache Uvivu. Hata huyo YESU kakuambia Tafuta utaona. sasa unataka tukutafunie wewe umeze tu.
Vielelevyo ni vingi sana. Tafuta tu kaka utajiunga nasi katka mapinduzi ya kifikra kwa MTU MWEUSI.