Where did God come from (Mungu ametoka wapi)

Sina uhakika kama umetafakari kabla ya kugonga post.
Swali lako limejengwa kwenye "assumption " kwamba kuna mahali Mungu alitoka au umeambiwa na muumini sijui wa Mungu yupi kuwa kuna mahali alitoka.
Naamini hujaona assumption nyuma ya swali lako ndiyo ukaingia mkenge kupost kiroja ukifikiri ni hoja.
Mungu hakutoka kokote na hupo popote kwa wakati wote. Hivyo swali lako linakosa mashiko kwa kuwa sifa za Mungu ni kuwapo popote pasipo kutoka kokote
Your question is self defeating
Tafuta swali jingine logical uliza
 

Mkuu, tuko pamoja. Lakini lazima tuwaeleweshe hawa ndugu zetu. Afrika ya WEUSI lazima ibadilike kifikra iliotukuka. Wazee wetu wa KALE waliweza kutap hizi energy kwa sababu walielewa mungu yupo ndani yao na ndio maana hata YESU alisema sisi ni Hekalu la Mungu alie hai. Maana yake we can invoke that divine energy and do anything we want but mind that for only righteousness purposes. Ukimess nayo inakuangamiza

HIVY, TARATIBU WATAELEWA TU MKUU.
 
Kwa mantiki hiyo Mungu yupo baina ya hayo uliyoyataja na sio uwepo halisi?

Mkuu ni sawa kabisa MUNGU yupo. Ni unlimited DIVINE ESSENCE ambayo ndio uwepo wa consciousness (Utambuzi, Ufahamu, Ung'amuzi) na Intelligence. That DIVINE ENERGY IS AVAILABLE FOR ALL OF US, U CAN TAPE IT AND USE FOR UR BENEFIT AND THE BENEFIT OF OTHERS.
 

Ndivyo ulivyodaganywa na umekubali kuwa habari za yesu zipo ndani ya bibilia tu? Ni Bibilia ipi unayoiongelea? Unayafahamu maisha ya utoto wa yesu kabla hata ya miaka 30 alikuwa anafanya nini? Unafahamu Misri YESU kakaa miaka Mingapi? na wakati huo vyuo vya elimu ya juu ilikuwa dunia inaitafutia wapi?

Umeshawai kuona injili kama ilivyoandikwa na Thomas, AQUARIAN, Maria Magdalena, James? Umewai kusoma hadithi za Yesu ndani ya QURAN? Umewai kusoma kitabu kinaitwa RIGVEDA (RG VEDAS) is ana Ancient Indian pamoja na Brahmi script? au ndio ukipigwa KOFI la Kushoto na MPE na la Kulia pia?

MY PEOPLE ARE DESTROYED FOR THE LACK OF KNOWLEDGE.
 
Bado hujathibitisha kuwa Yesu alienda kujifunza meditation akiwa na miaka 12, refer hivyo vitabu vyako ku substantiate hoja yako, hivyo vitabu vingine vinipe nini cha ziada kuhusu kumjua Yesu? Uniambie Quran nani alikiwepo wakati wa Yesu katika waandishi wa Quran? Wewe ndiyo unapotaka kukosa maarifa
 
Hili Nitatizo kubwa kwa jamii yetu watu weusi. Hatusomi vitabu. Watu wanangángánia biblia tu. Eti kwa msingi wa Biblia, jamii yetu ni wavivu wakutafuta maarifa. Akiwa engineer basi anachojua ni mambo ya engineering tu. Mungu waliyetuaminisha wazungu siye Mungu wa kweli. Kumbuka kabla ya kuja kwa dini ya kikristo na Kiislamu, Waafrika (wazee wetu) walikuwa wakitumia hizi nguvu kutenda mambo makubwa mno. Ukiwaambia watu kuwa Yesu alikuwa Mwadamu kama wewe na mimi hawakubali kabisa kwa kukosa maarifa.
 

Mkuu nimekupa tu indicator ya vyanzo vya wewe kuweza kufanya tafiti ili ujielimishe. Uache Uvivu. Hata huyo YESU kakuambia Tafuta utaona. sasa unataka tukutafunie wewe umeze tu.
Vielelevyo ni vingi sana. Tafuta tu kaka utajiunga nasi katka mapinduzi ya kifikra kwa MTU MWEUSI.
 

Kaka wataelewa tu. hii kazi sio ndogo. NDIO UJUE UMEFUNULIWA WEWE ILI UAELIMISHE NDUGUZO.
 
Sina mpango wa kutafuta elimu zidanganyazo kwa kisingizio cha mapinduzi ya kifikra, wewe uliyekuja na hoja ya kuwa Yesu alikuwa ni mtu wa kawaida unipe sababu ya wewe kufikia conclusion hiyo. Kunipa Quran ili nimjue Yesu ni uendawazimu labda tunapishana uelewa na imani, reference yangu kubwa ambayo sina mashaka nayo ni biblia, na injili zilizojumuishwa mle ziliandikwa na watu waliokuwa na ukaribu na matukio.
Hizo za akina Maria Magdalena Hazikuwa compiled kwa sababu hazikujitosheleza, wakatoliki wanazo Sioni sababu ya kumpinga Mungu wangu kwa akili ya mapinduzi ya kifikra kwa MTU MWEUSI. Ni upuuzi kwangu usiomithilika, kumpinga Mungu hamkuanza nyinyi wanamapinduzi wa fikra, alianza shetani kabla ya uumbaji endelezeni kazi ya shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…