Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the purchase of six sukhoi 30 fighter jet from russia by uganda has made ugandan airforce among the highets rated airforce in africa second only to south africa in central and south of sahara!! the jet are classified as 4.5 generation fighter jet!!!
all east and central africa airforces including Tanzania excluding SA have second generation fighter jet which make them no match to ugandan airforce newly acquired jets... the Big question is where did uganda get the money to purchase such expensive fighter jet at a staggering cost without affecting their annual budget??? any connection with DRC minerals???
Hizi SU ziko za Aiana Nyingi nashangaa mnabishana ni kwa nini Uganda ameweza kununua hizi SU 30, kuna SU 30MKI Hizi ni special kwa ajili ya India Pekee na ni exepnsive sana, Na kuna SU 30MK2V Hizi ni spceil kwa Jeshi la Veitnam Pekee,
SU 30 SM- Kwa ajili ya Jeshi la URUSI pekee, SU 30MKM Kwa ajili y Malayasia pekee,
Kuna SU 30 MKV hizi ni spceal kwa ajili ya Venezuela pekee Na kazalika na zipo SU 30 kwa ajili ya Algeria na URUSI na yeye anazo za kakwe kwa ajiliya Jeshi lake SU 30 zinazo uzwa Uganda si sawa na zinazo uzwa ndia za India si sawa na za RUSIA
Teh! teh! teh! ... no commentHamjui kama East Africa imekaa kivitakivita siku hizi?nyie kaeni hivyo hivyo na vishada vyenu halafu mnaanzisha ugomvi tutanyukwa mpaka kigamboni!
the purchase of six sukhoi 30 fighter jet from russia by uganda has made ugandan airforce among the highets rated airforce in africa second only to south africa in central and south of sahara!! the jet are classified as 4.5 generation fighter jet!!!
all east and central africa airforces including Tanzania excluding SA have second generation fighter jet which make them no match to ugandan airforce newly acquired jets... the Big question is where did uganda get the money to purchase such expensive fighter jet at a staggering cost without affecting their annual budget??? any connection with DRC minerals???
unatakiwa ufahamu ununuzi wa garama kubwa kama hii unauwezekano mkubwa sana wa kuathiri bajeti hasa kwa nchi maskini kama za kwetu za dunia ya tatu... for your information hakuna nchi yoyoyte afrika yenye ndege kama izi na si tu kwamba hawazitaki bali ni kwa sababu ni ghali kwa iyo kwa nchi kama uganda kununua imeshangaza sana jumuia ya kimataifa!!! tanzania tumenunua copy version ya mig 21 from china ambayo pia bado ni second generation fighter jet na kwa sasa nyingi pia haziruki kwa ajili ya poor maintenance ambayo ndo cost yenyewe!!!
Uganda wanatumia S-30MKK2 "Modernized, Commercial, China" variant ya china. Uganda hawawez agiza variants yao cz gharama yake ni maradufu ya hiyo waliyoagiza na wao hawana such technical specifications za kujitofautisha na wengne. Mfano India zao ni MKI wamezifunga avionics system za Mawasiliano toka Israel na France na wana license ya production hii ndio requirement yao. Ni sawa sawa na kuagizia gar kiwandan uweke special order kwa specifications utakazo gharama yake ni kubwa sana. Uganda Kua na Sukhoi 10 so far sio big deal sana dola mil. 780 iko within our reach ila unaangalia priorities. Kwa kipind cha aman resources huelekezwa zaid kweny social, economic and investment needs ila kipindi cha vita una diverge cz unahitaj silaha so unainvest resources kweny silaha. Ndio maana JWTZ inamiliki MIV's za uchina na sophiscated Soviet BM-30 acquired 1970's and 80's silaha ambazo kwa nchi ndogo kiuchumi ni anasa kuzimiliki lakini kwa kipindi hicho mahitaji yalilazimu. Museveni ni army personel anapenda pride na vita so kutumia resources for unnecesary military hardware kwake ni sifa kua ukanda woote wa EA yeye ndio ana modern Air Force which is stupid!
You have nailed it bro, i couldn't agree more.
nilifuatilia kwenye second congo war museven na kagame walionewa sana na majeshi ya zimbabwe kwani zimbabwe alikua na airforce nzuri infact ndio iliyomuokoa kabila walifikia hatua walikua wanadestroy hadi meli zilizokua zimebeba askari wa rwanda na uganda kwa picha ile ndio mana ameamua ajiimarishe ili ikitokea tena wawe tayari maana hawako tayari kuachia maliasili za congo hasa madini na mbao!!!

Spot on mkuu, hata mimi nilijua M7 alinunua ndege hizo kwa lengo la kutaka kutambia majirani zake - show off sort of, lakini kama unavyo sema kipigo cha ndege za Zimbabwe wakati wa vita ndani ya DRC nacho kilichangia M7 kutaka kuwa armed 2 teeth ili aweze ku-contain Airforce ya Zimbabwe just in case, lakini wana anga wa Zimbabwe wana uzoefu mkubwa katika nyanja hizi.
Mkuu ukweli wa mambo ni kwamba kuwa na modern jetfighters si hoja sana what counts at the end of the day ni uzoefu wa marubani na ujasiri walio nao - Alafu usisahau ukiwa na a formidable Air Defence System ndege zitapata wakati mgumu kuingia kwenye anga lako na kufanikiwa kukushambulia. Looking back now, naona Milima ya Kenya na General Weather ilisadia sana kupunguza idadi ya silaha hatari za M7, Gunship zile zilizo paramia Mt Kenya zinge endelea kuwepo - Uganda ingeweza ku-wreak havock kwa majeshi yetu huko Congo - nionavyo mimi this pair kama wataendelea kubaki madarakani nchi za Eastern and Central Africa zitajikuta zinaingia kwenye vita KALI within three 2 five YEARS - these guys are UP 2 something na kibaya zaidi wako highly unpredictable.