mlima wa MotoKwenye upepo wa kisulisuli
Nililala kifwala...
[emoji15][emoji15]
Yeah for sure yaani macho yalikua kama nimetia mchangaChezea uchovu wewe ts gud lakini uliweza pumzika mkuu
Sawa sawa Pacha.Hahahaha kwa group la Arsenal dadekiiii
Haahaaa pacha vungaSawa sawa Pacha.
Nimeipenda hii. π
Nishavunga Pacha. π€£Haahaaa pacha vunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chizi weweKwa mganga wa kienyeji.
πππππππ nimecheka pacha umenioteaHaahaaa pacha vunga
Bwana shemeji alikuona wapi??? Au pale kwa mkapaSawa sawa Pacha.
Nimeipenda hii. [emoji3]
Cheka tu Pacha wa mie.πππππππ nimecheka pacha umeniotea
Hahahaaa. Jirani jirani.Bwana shemeji alikuona wapi??? Au pale kwa mkapa
Aisee naona upepo wa kisulisuli imetrend sna kama 7800 ebu nitoeni tongotongo hapo wakuu
Hapana bwana.... hivi unaanzaje kusahau. Huogopi kesiHahahaaa. Jirani jirani.
Uzee huu jirani [emoji848] nshasahau na kusahau ujue. [emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahaha daa haya bwana, ipo siku nami nitakuoteaCheka tu Pacha wa mie.
Na kweli nimekuotea Pacha maana si kwa kujiquote huko. ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chizi wewe