Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlikutana wapi we na partner ako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.
Bado hatujakutana.... View attachment 1233823
Umemjuaje? Kwaiyo tuna-share?Huyo mnakutana porn hub....mwanadada mia khalfa
Ni sawa uwe mtu wa mpira halafu usimjue messiUmemjuaje? Kwaiyo tuna-share?
Ok nyie mna muangalia tu.. Mimi ni uyo kwenye avatarHakuna asiemjua huyo aisee...ni star kwenye secta hyo japo kwa sasa kastaafuNi sawa uwe mtu wa mpira halafu usimjue messi
Mlikutana wapi we na partner wako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.
Wewe na mwenzio mlikutana wapi?
Kumbe ndio maana ulimfungulia uzi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jeifuu
Marahabaaa!Kwa mganga wa kienyeji.
Aiseeee.Kwa mganga wa kienyeji.
Sasa ulidhani Mshana Jr ningekutana nae kanisani[emoji53][emoji53]Marahabaaa!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Bado hatujakutana.... View attachment 1233823
Kumbe ndio maana ulimfungulia uzi humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]