Uwiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
sumbai hebu kuja kwanza tuweke hii mambo sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
sumbai hebu kuja kwanza tuweke hii mambo sawa.
Na utulie tu.Uwiiii
Huyu binti ni viboko tu sasa hadi akili akumbuke alipoziacha.Natizama tuuu.... the power of dark arts za mshana. Inabidi dada mtu unipe maelezo ya kina.
Lakini ilikuwa ni zamani jamani.Na utulie tu.
kwahiyo technically wote ni mashabiki wa Arsenal...saafi.Hahahaha kwa group la Arsenal dadekiiii
Mlikutana wapi we na partner wako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.
Wewe na mwenzio mlikutana wapi?
Kabisaaaaa,hahahaha tukifungwa tunanuna wotekwahiyo technically wote ni mashabiki wa Arsenal...saafi.
Hivi mara ya mwisho mlicheka lini Pacha? 🙈Kabisaaaaa,hahahaha tukifungwa tunanuna wote
Umeanza uchokozi asubuhi asubuhi pacha, hv una nn lkn, ww si unaijua ile timu, tia maji tia majiHivi mara ya mwisho mlicheka lini Pacha? 🙈
#hiyotimuhapanaborayanga.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
😂😂😂😂😂
Hahahahaa! Basi tuyaache Pacha nisije kukumbusha machungu bure. 🙏Umeanza uchokozi asubuhi asubuhi pacha, hv una nn lkn, ww si unaijua ile timu, tia maji tia maji
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila pacha bora yetu aisee, nyie Yanga msubiri maumivuHahahahaa! Basi tuyaache Pacha nisije kukumbusha machungu bure. 🙏
Japo nimecheka sana. Lol.
Bado hatujakutana.... View attachment 1233823