Where does a woman's money go??

Where does a woman's money go??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Do u agree??

Check the clip and give feedback

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: JS
Ebu weka wazi mie yt haifunguki,navyojua inakwenda

1.Nguo
2.Vipodozi
 
Ebu weka wazi mie yt haifunguki,navyojua inakwenda

1.Nguo
2.Vipodozi

King koooooooooooooooooooooooooooooooooo

Subiri wenzako wafungue halafu utapata jibu,

ulizotaja zote umekosa
 
Kwenye viatu eeh..kitu high heels🙂)

Boflo una mambo weye!!..umeifukunyuaje hiyo clip??

Muke ya Mubritish!!
 
Kwenye viatu eeh..kitu high heels🙂)

Boflo una mambo weye!!..umeifukunyuaje hiyo clip??

Muke ya Mubritish!!

Hii ni kweli kabisa, Jana nilimpa demu wangu pesa kaenda kununua viatu pair 2 na ana pea zaidi ya 40 za viatu..

Wanawake kwa viatu!!!!
 
King koooooooooooooooooooooooooooooooooo

Subiri wenzako wafungue halafu utapata jibu,

ulizotaja zote umekosa

Bofloooooooooooooooooooooooo,mie wakwangu ana pair zaidi ya kumi.
 
Boflo una demu?!!?!?!

Si yule msukuma, aloniambia ikimegwa haifanyi alama....

halafu wewe ukaniuliza eti kuwa mimi nataka ifanye alama???.....niliku mind siku ile
 
may be boflo kweli.

Oh yeah...anaweza akawa boflo kweli.

Pia kwa vile tu mtu anasema yeye ni straight hiyo haimfanyi yeye ni straight. Na kwa vile tu mtu anapinga sana ushoga hiyo haimfanyi yeye kutokuwa shoga. Tena hao wanaopinga kwa nguvu zote ndiyo wa kuwatilia mashaka haswaa....

Kwa kifupi, ushoga ni siri ya mtu moyoni mwake na kwa huyo mwenza wake anayeshirikiana naye hayo mambo. Kupinga tu ama kutopinga hakumfanyi mtu kuwa ama kutokuwa shoga!
 
For sho'
 
Bofloooooooooooo...i plead guilty and ready to receive the judgement koz of overwhelming Youtube evidence.....:disapointed:
 
Hii ni kweli kabisa, Jana nilimpa demu wangu pesa kaenda kununua viatu pair 2 na ana pea zaidi ya 40 za viatu..

Wanawake kwa viatu!!!!

Asante sana kwa kusema jana ulimpa demu wako ela, yani hii imenijulisha wewe ni jinsia gani maana kila siku uwa nataka kukuuliza ila nachelea unaweza kasirika.
 
Back
Top Bottom