Where is Azory Gwanda?

Where is Azory Gwanda?

Ni wazo jema sana. Naomba kujua, Tukipata sahihi10,000, then the next move ni ipi? Itasaidiaje kumwajibisha "huyo" aliyemteka/aliyemuua Azory, maana kiukweli "anafahamika"... "wasiojulikana" "wameshajulikana"!
 
Kwani familia yake inasemaje au wewe ndio msemaji wa familia? Je kama yuko kwenye mission maalum ya kijasusi?
 
Back
Top Bottom