R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 May 2, 2019 #61 Ni wazo jema sana. Naomba kujua, Tukipata sahihi10,000, then the next move ni ipi? Itasaidiaje kumwajibisha "huyo" aliyemteka/aliyemuua Azory, maana kiukweli "anafahamika"... "wasiojulikana" "wameshajulikana"!
Ni wazo jema sana. Naomba kujua, Tukipata sahihi10,000, then the next move ni ipi? Itasaidiaje kumwajibisha "huyo" aliyemteka/aliyemuua Azory, maana kiukweli "anafahamika"... "wasiojulikana" "wameshajulikana"!
mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,927 May 2, 2019 #62 Kwani familia yake inasemaje au wewe ndio msemaji wa familia? Je kama yuko kwenye mission maalum ya kijasusi?
Kwani familia yake inasemaje au wewe ndio msemaji wa familia? Je kama yuko kwenye mission maalum ya kijasusi?