NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Unamtetea tapeli Anthony Lusekelo anayetumia Jina la Yesu kuwaibia watoto wa Mungu wenye shida na matatizo mbalimbali!!!! Laana itakuwa juu yake yeye mwizi mkubwa anayekusanya hela madhabahuni kama konda wa daladala.Mzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi WIVU wa nini?Angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa Mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!Mwachieni Mungu ndiye anayehukumu kwa haki!
Pamoja na shuhuda zote hizo hapo juu, still watu wazidi kumfuata! Wabongo bwana!
Anajiita MZEE WA UPAKO kama kivutio cha kunasa hela za wenye shida. Huyo ni tapeli kama walivyo matapeli wowote wa mjini. Uliona wapi mhubiri anawachaji hela waumini wake kwa kuwafanyia maombi tena mbele ya kanamnasi akiwa madhabahuni!? Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi ningewafutilia mbali watu wa aina ya anthony lusekelo ili warudi kijijini wakalime.Mzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi WIVU wa nini?Angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa Mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!Mwachieni Mungu ndiye anayehukumu kwa haki!
kwani ametajwa mwenyewe hapo kwenye list?kwa taarifa yako huyo sio mtumishi wa mungu hata kidogo ni mchumia tumbo na anawadanganya na kuwaringishia nyie mlio wajinga kumpa mafwedha ananunua na magari yakuwaringishia .kweli mnaangamia kwakukosa maarifamzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi wivu wa nini?angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!mwachieni mungu ndiye anayehukumu kwa haki!
antony lusekelo(mzee wa upako)===shehe yahyamzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi wivu wa nini?angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!mwachieni mungu ndiye anayehukumu kwa haki!
Ndodi TAPELI MKUBWA SANA, kuna watu walitaka kumaliza na kutoa roho yake, kala mil 2.4 halafu mtu hajapona analeta kiburi ETI MUOMBE MUNGU WAKATI KABLA HUJATUMIA DAWA..... Mwizi kweli huyu, na ANATUMIA DINI NA JINA LA YESU KUWAZINGUA WATU....
Tapeli kweli kweli.... ila kuna siku muda si mrefu itamtokea puani....!!!
Mwizi kweli....!!!
inawezekana akawa tapeli jamani huyu mtu sijui hata amepotelea wapi kweli maana nilishaliwa na mimi mwaka juzi 2011 kama laki 4 hivi nlikua nina shida na dawa ya ulcers lakini wapi. sitaki hata kumsikia
Muondoe Mwl. Mwakasege katika orodha yako tafadhali. Ni udharirishaji wa kiwango cha juu sana kumchanganya Mwl. Mwakasege na matapeli kama akina Mzee wa Upako.
onyesha ukubwa na usiwe unakurupuka kama mtt , uctukane wa2mishi wa Mungu ukaja laaniwa na vizazi vyako . muache MUNGU ndio anaye hukumu tena kwa haki wala c kwa upendeleo.Ndondi,Upwako,mwakasiege,Mhh! WAJINGA NJOO, WEREVU TUPATE. imba kufuatisha mlio wa kengele ya kanisani