NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Unamtetea tapeli Anthony Lusekelo anayetumia Jina la Yesu kuwaibia watoto wa Mungu wenye shida na matatizo mbalimbali!!!! Laana itakuwa juu yake yeye mwizi mkubwa anayekusanya hela madhabahuni kama konda wa daladala.Mzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi WIVU wa nini?Angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa Mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!Mwachieni Mungu ndiye anayehukumu kwa haki!