Where is Dr Ndodi ?

Where is Dr Ndodi ?

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,232
Reaction score
1,592
I used to see him in our local tvs especially channel 10 and startv advertising his medicinal properties, jamani amepotelea wapi huyu brother
 
Nimemwona asubuhi ya leo Star Tv akitoa tangazo la kuanza kwa huduma zake kanda ya ziwa kila siku kwenye radio Free Africa muda wa saa nne hadi nne nusu usiku kila siku kuanzia jtatu ijayo. Amesema ya kuwa watu wote watapata huduma ya dawa na ushauri. Let wait the time will tell
 
labda kesha yajaza mahela kwa hiyo kajipumzikia. Jamaa dawa zake bei nono hasa. safari moja nilifika kwake nikamkuta mama mmoja na msaidizi wa dokta pale. the said dokta akamwambia yule mama angepata dawa kwa wiki 15, kila wiki laki tatu. mimi hivohivo. nikamwambia sasa hivi hizi dawa si za matajiri ni kweli ni za watanzania wa kawaida? Mimi nahofia sana hizi advertisements zinazohusisha mambo ya kidini. sijui ule msemo wa wahenga "Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza uafanana na hizi adverts?" Jamaa huyu anajigamba kwa magari kama Mzee wa Upako. Simkandii lakini dah! kuna yule wa Loliondo naye lakini yeye ilikuwa mia tano tu.
 
Yupo Mikoani last 2 weeks alikua Iringa, Mafinga na Mkambako akaenda mpka Mbeya
 
Huyu jamaa anayeishi kwa kunyonya wagonjwa kwa kweli na mimi kwa mara ya mwisho nimemsikia muda mrefu sana uliopita. Inawezekana anatumia kwanza alizokusanya kabla ya kurejea site tena.
 
Dah kweli kanila milioni yangu kwa dawa ambazo hazijasaidia ki2 kweli maisha haya bora kutokuamini muda mwingine
 
Jamaa alikuwa ananifurahisha sana na maneno yake ya kukandia mpangilio mbovu wa kula.. Kuvaa na kuongea.. Ila cikuwahi hata ciku moja kuvutiwa kwenda kupata huduma kwake..
 
Dah kweli kanila milioni yangu kwa dawa ambazo hazijasaidia ki2 kweli maisha haya bora kutokuamini muda mwingine

Pole mkuu! Kwa sasa yuko GEITA mjini tangu mwaka mpya uanze hadi leo. Kuna jirani yangu alilambwa 700,000/=ikiwa ni robo tu ya matibabu ya moyo (PB) wakashindana na hadi leo jamaa bado anasumbuliwa na moyo.
 
labda kesha yajaza mahela kwa hiyo kajipumzikia. Jamaa dawa zake bei nono hasa. safari moja nilifika kwake nikamkuta mama mmoja na msaidizi wa dokta pale. the said dokta akamwambia yule mama angepata dawa kwa wiki 15, kila wiki laki tatu. mimi hivohivo. nikamwambia sasa hivi hizi dawa si za matajiri ni kweli ni za watanzania wa kawaida? Mimi nahofia sana hizi advertisements zinazohusisha mambo ya kidini. sijui ule msemo wa wahenga "Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza uafanana na hizi adverts?" Jamaa huyu anajigamba kwa magari kama Mzee wa Upako. Simkandii lakini dah! kuna yule wa Loliondo naye lakini yeye ilikuwa mia tano tu.

Ifike kipindi wabongo nasi tushtuke sio kila mtu akisimama na kuzungumza porojo zake akiambatanisha na ushahidi wake wa uongo na kweli sie tunakubali tu. Ukifuatilia kwa umakini mada za jamaa kuhusiana na dawa zake nyingi zimejaa usanii na ujanja ujanja, He is not a Dr. bt mshauri wa tiba lishe tu.
 
Huyu jamaa anayeishi kwa kunyonya wagonjwa kwa kweli na mimi kwa mara ya mwisho nimemsikia muda mrefu sana uliopita. Inawezekana anatumia kwanza alizokusanya kabla ya kurejea site tena.

Wiki mbili zilizopita alikuwa Morogoro, kawadangany watu kuwa ikifika tar 31/12/2012 itakuwa mwisho wa kutumia simu za kichina mtambo wake utazimwa na hazitotumika tena, sijui ameanza na biashara ya simu huyu!
 
Ndondi,Upwako,mwakasiege,Mhh! WAJINGA NJOO, WEREVU TUPATE. imba kufuatisha mlio wa kengele ya kanisani
 
Ndondi,Upwako,mwakasiege,Mhh! WAJINGA NJOO, WEREVU TUPATE. imba kufuatisha mlio wa kengele ya kanisani

Muondoe Mwl. Mwakasege katika orodha yako tafadhali. Ni udharirishaji wa kiwango cha juu sana kumchanganya Mwl. Mwakasege na matapeli kama akina Mzee wa Upako.
 
Huyu jamaa anayeishi
kwa kunyonya wagonjwa kwa kweli na mimi kwa mara ya mwisho nimemsikia
muda mrefu sana uliopita. Inawezekana anatumia kwanza alizokusanya kabla
ya kurejea site tena.

Huyu Dr Ndodi ni mnyama sana! hana utu! matangazo na ukweli halisi havifanani! anakwambia piga cm uje tuonane,lo ukienda kumwona tu ni pesa kibao! angalia sasa hiyo midawa ya kila wiki ni malaki ya fedha! na hayana uhakika wa asilimia mia kupona! yani hana cha dini wala utu! anavinjaria ktk magari ya kifahari kwa hela za wanyonge! sasa yuko Geita anawavuna! si anajua machimboni wagonjwa ni wengi na wana hela!
 
Pamoja na shuhuda zote hizo hapo juu, still watu wazidi kumfuata! Wabongo bwana!
 
Mzee wa upako kawakosea nini?wanaomchangia wanatoa shukrani tena kwa hiari ya mioyo yao ninyi WIVU wa nini?Angalieni jinsi mnavyonena juu ya watumishi wa Mungu kwani hukumu yenu inaweza kugeuka laana kwenu na kwa vizazi vyenu!Mwachieni Mungu ndiye anayehukumu kwa haki!
 
Acha ujinga wa kumweka mtumish wa Mungu mwakasege usilopoke bila kujua unaandika nini unamchanganya mwalimu na hao ndugu zako?fikiri kwanza kabla hujapost
 
Ndodi TAPELI MKUBWA SANA, kuna watu walitaka kumaliza na kutoa roho yake, kala mil 2.4 halafu mtu hajapona analeta kiburi ETI MUOMBE MUNGU WAKATI KABLA HUJATUMIA DAWA..... Mwizi kweli huyu, na ANATUMIA DINI NA JINA LA YESU KUWAZINGUA WATU....

Tapeli kweli kweli.... ila kuna siku muda si mrefu itamtokea puani....!!!

Mwizi kweli....!!!
 
Back
Top Bottom