Where is Jeff Koinange of K24?

Where is Jeff Koinange of K24?

chiborie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
491
Reaction score
345
Wadau;

Miongoni mwa channel chache za Kenya ninazozipata kupitia dish langu ni K24.

Japo naona kama wanaupendeleo katika kuripoti habari za uchaguzi, wakionekana kuupendelea zaidi mlengo wa Jubilee.

Licha ya mapangufu hayo, nimekua shabiki sana wa kipindi cha capital talk kinachoendesha na staa wao Jeff Koinange. Lakini tokea January mwaka huu, kipindi hakionekani, hata yale matangazo yake ambayo walikua wanayatoa mara kwa mara, wakionesha clips za nyuma hayapo.

Wadau wa media za kenya please fungukeni!
 
Jamaa kaelekea Bondeni...

Jeff Koinange leaving K24 for South African Television Network

Jeff_Koinange.jpg

Capital Talk's Jeff Koinange is leaving K24 for a stint in South Africa.

Koinange who is the host of the station's talk-show, "Capital Talk" is leaving to take up an anchor role at Arise Television Network in South Africa. The station which is new is looking to broadcast live news and information on Africa to viewers in major cities of the world.

Arise Television Network is a venture by THISDAY and is set to rival CNN, Aljazeera and SKY News. The network is expected to reach over 200 million people. It is an off-shoot of Arise Magazine, also a subsidiary of THISDAY.

The network has it's operation license in London and will broadcast live in New Delhi, Johannesburg, Beijing, New York, Lagos and a host of other capital cities of the world,"

Jeff's career also includes a span with CNN, Reuters Television, NBC where he worked as 1994 as well as ABC News.

Earlier on, there were rumors circulating that he had been offered Sh80 million to leave MedIamax's K24.

Jeff Koinange leaving K24 for South African Television Network - : Jambonewspot
 
Da! K24 wamepata pigo, ila ongera zake kwa kazi mpya. Awe kamini yasimtokee yale ya CNN. Peperusha vema bendera ya East Africa Koinange!
 
Mi naona K24 bila Jeff ni sawa na kuwa na TV hapa bongo bila kuwa na King'amuzi au kipokezi(receiver),naomba hii ATN ya Jeff tuipate huku kwenye ving'amuzi vyetu vya Zuku,ingawa Jeff ana matatizo yake kiutangazaji jamaa ni nambari wani,ni kama Julie wa Citizen TV
 
Daah mimi nilidhani kipindi kipo mapumzikoni? Kweli hapo K24 wamedondosha almasi,,,hili jembe tangu zama akiwa correspondent wa CNN.
 
Du! mkuu hii kali. Ila kiukweli channel imekosa mvuto, wanatakiwa wajipange sawasawa!!
 
Daah mimi nilidhani kipindi kipo mapumzikoni? Kweli hapo K24 wamedondosha almasi,,,hili jembe tangu zama akiwa correspondent wa CNN.

Ya kiukweli wamwpoteza. Na mbaya zaidi walimtegemea na kumweka kama icon yao. sasa wanapaswa kujipanga vinginevyo wametotea!!!
 
Back
Top Bottom