Wadau;
Miongoni mwa channel chache za Kenya ninazozipata kupitia dish langu ni K24.
Japo naona kama wanaupendeleo katika kuripoti habari za uchaguzi, wakionekana kuupendelea zaidi mlengo wa Jubilee.
Licha ya mapangufu hayo, nimekua shabiki sana wa kipindi cha capital talk kinachoendesha na staa wao Jeff Koinange. Lakini tokea January mwaka huu, kipindi hakionekani, hata yale matangazo yake ambayo walikua wanayatoa mara kwa mara, wakionesha clips za nyuma hayapo.
Wadau wa media za kenya please fungukeni!