Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kwan bado unasikilizaga redio??!
Poa Mkuu.Subiri wajuvi wanakuja.
Haha nimekutania tu.Safi hata nami napenda sana redio.Ndio mkuu muda mwingi sana nautumia kusikiliza radio yaani kwenye 24hrs masaa karibia 20hrs nasikiliza radio ,manne natoa ya kulala!! Kukaa dukani bila makelele ya radio hupati wateja wanaweza wakajua mchawi.
Du Frida Aman kaenda Clouds FM hatari , Jr atakuwa Kasepa muda sana sijamsikia kwa hewa.frida namuona hapo nae nasikia yupo clouds......kuhusu jr sifahamu
Unamzungumzia Jr yupi Mzee [emoji3][emoji3]Kazi yake ilikuwa kuchekacheka tu kama boya
majizo naona kaleta mapinduzi ya kuwapa thamani watangazaji sasa ivi bila mpunga wa maana watangazaji kukukimbia litakua jambo la kawaidaEast africa hawalip mishahara.hata misago hayupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mkuu muda mwingi sana nautumia kusikiliza radio yaani kwenye 24hrs masaa karibia 20hrs nasikiliza radio ,manne natoa ya kulala!! Kukaa dukani bila makelele ya radio hupati wateja wanaweza wakajua mchawi.
Aiseeeee. Jamaa kweli chuma. Mbeya stand up.Habari wadau wa JF,
Aisee kitambo sana sijamsikia mtangazaji mwenye vibe plate number D kwa hewa,huwa nilikuwa namsikiliza kwenye planet bongo au kwenye The Cruz ila kwa Fasi zote zimsomi kabisa au dablyu wachafu washampitia na upepo wa kisuri suri?
Nawasilisha.
Aiseeeee. Jamaa kweli chuma. Mbeya stand up.
Jamaa nadhani ameshasepa maana hata kwenye page ya East African Radio kwa upande wa watangazaji hayupo, kuna ingizo jipya LA Dada mmoja anaitwa Lesa_Said
Pamoja na freddo mbunji ...huyu alitoka Ebony Fm Iringa