Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing .

Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya?

Maji shida? umeme shida? Usafiri shida? Maisha Shida? services mbovu? Useless useless government

Serikali hii nini sasa kipo Sawa? Tuambiane?
 
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
 
Kuna namna wanaomzunguka mkuu wa nchi wanamhuhujumu.
 
Mwafrika anacho weza ni kuiba pesa na kuweka kwenye ma-bank ya ughaibuni.

Miradi ya serikali imejaa ufisadi na ubinafsi usio wa kawaida,hakuna tunacho weza waafrika,tunapaswa kusaidiwa mpaka uongozi.
3 years amna kitu umefanya . Unatoka mweupe ?!! Aisee
 
Njia ya rail ipo tayari Kwa matumizi kuanzia Dar hadi Makutopora.

Ni mtumiaji tu aanze kutumia.
 
Labda inahitajika watu wapigwe viboko
 
Hata hii Mwanza-Isaka Mchina hawezi kukabidhi mradi Mei 2024.

Mvua ya juzi tu naona tuta limemomonyoka maeneo mengi, Vipi el nino ya Oktoba?
 
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu imeisha hyoo.. tumeumia
 
Back
Top Bottom