Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
[emoji1787][emoji1787]Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, unawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Sio uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Unavoanza nilikua nishakuandalia tusi 😁😁😁Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
kwamba mtu yupo this blinded . A sikii hata keleleKuna namna wanaomzunguka mkuu wa nchi wanamhuhujumu.
3 years amna kitu umefanya . Unatoka mweupe ?!! AiseeMwafrika anacho weza ni kuiba pesa na kuweka kwenye ma-bank ya ughaibuni.
Miradi ya serikali imejaa ufisadi na ubinafsi usio wa kawaida,hakuna tunacho weza waafrika,tunapaswa kusaidiwa mpaka uongozi.
Why delay ??Njia ya rail ipo tayari Kwa matumizi kuanzia Dar hadi Makutopora.
Ni mtumiaji tu aanze kutumia.
Mimi Sio muhusika,Why delay ??
[emoji3][emoji3][emoji3]Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni, mnawaonea sana serikali maana Kuna sekta nyingi sana wamefanikiwa, mfano sekta ya mikutano, upigaji, rushwa, kusafirisafiri mbona wanafanya vizuri. Si uwapongeze, sio vizuri. Wapongezeni wanapopatia.
Kwani si uliambiwa ni tope!kwamba mtu yupo this blinded . A sikii hata kelele